Nyie ukweli mnaupenda?Wenzako hawataki ukweli. Subiri matusi as long as sheria haikatazi.
Nia yake ni kutaka kuwakatisha tamaa wale wanaotegemea kampeni kabambe kutoka kwa mhashimiwa Lissu, wanataka upinzani uje na mgombea tofauti au ukate tamaa. Tutaona na kusikia mengi miezi hii miwili na nusu ijayo.Umechanganya mambo mengi, mara ruzuku ,michango ya wabunge na Mwenyekiti Mbowe kugoma kutoa fedha mara eti amejitenga na uchaguzi.Binafsi sijaelewa nini ni nini!
Dadavua kwa undani zaidi tukuelewe.
Kwamba chadema walikuwa wanategemea fedha kutoka nje ya nchi?Okey
Ule utaratibu mpya uliyotolewa na BOT wa ubadilishaji pesa za kigeni ndiyo unaosababisha hilo tatizo la ukosefu wa pesa ndani ya chadema!!
Ngoja takukuru wamalize uchunguzi wa bil 8.9 alizotia ndani mwenyekiti utaelewa tuu.Umechanganya mambo mengi, mara ruzuku ,michango ya wabunge na Mwenyekiti Mbowe kugoma kutoa fedha mara eti amejitenga na uchaguzi.Binafsi sijaelewa nini ni nini!!.
Dadavua kwa undani zaidi tukuelewe.
Kwani ? Magu pesa za campaign atazipata wapi?Lisu pesa za kampeni Hana Sio Siri,
Mbowe asilaumiwe Ruzuku haipo Tena chache zilizobaki Ni kwa ajili ya kulipa wafanyakazi wa Chadema Kama maofisi, madereva, gharama za ofisi nk.
Tulisema humu toka mwanzo kuwa Chadema watajuta mbele ya Safari kumteua mgombea Maskini
Chama kingekuwa kina pesa haina shida. Lakini chama pesa hakina Halafu kinateua mgombea masikini asiye na pesa
Hawakuwa maamuzi sahihi .Sasa Kama pumzi ya pesa imekata kwenye kutafuta wadhamini tu ikifika kampeni si itakuwa hatari
Kumbe tukiwachagua watatuuza ili kulipia hayo madeni basi?Usiulize swali huku ukiwa unajua jibu lake hayo ni matumizi mabaya ya ubongo.
Kutoka CDM 'imekufa'mpaka Haina pesaPole sana Lissu. Hukujua tu, kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya mafanikio ya kisiasa na ukwasi. Ilipaswa upime kabla kama wewe hauna pesa basi taasisi inayokudhamini iwe na pesa ila kama nyote hamna pesa basi tukushukuru tu kwa kushiriki na kuchangamsha genge. Achana na haya mambo jipange next time
Angalia kwanza jina unalojiita, mpumbavu wewe!Lissu mwisho wake ni siku ya kurejesha fomu na zaidi ya hapo NEC wanamuengua asubuhi tu.
Lisu pesa za kampeni Hana Sio Siri,