Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kukosa pesa ya kampeni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kukosa pesa ya kampeni

Kwa kawaida pesa huwa sio kitu rahisi rahisi siku zote, lakini kampeni itaendelea japo kwa uchovu.
Kwa muda waliofanya siasa sidhani kama hawajui gharama za uchaguzi ni zipi. Wasingeweza kuanza harakati za kuusaka urais kama hawana fedha za kampeni.

Pesa hawawezi kukosa za kampeni
 
Lisu pesa za kampeni Hana Sio Siri,

Mbowe asilaumiwe Ruzuku haipo Tena chache zilizobaki Ni kwa ajili ya kulipa wafanyakazi wa Chadema Kama maofisi, madereva, gharama za ofisi nk.

Tulisema humu toka mwanzo kuwa Chadema watajuta mbele ya Safari kumteua mgombea Maskini

Chama kingekuwa kina pesa haina shida. Lakini chama pesa hakina Halafu kinateua mgombea masikini asiye na pesa

Hawakuwa maamuzi sahihi .Sasa Kama pumzi ya pesa imekata kwenye kutafuta wadhamini tu ikifika kampeni si itakuwa hatari
Si watu wanasema ametumwa na mabeberu? Hao hao watampa ninyi mnalalamoka nini?
 
Ukiwa kama mmojawapo wa kutafuta michango, inamaanisha wewe ni mwanachama wa Chadema.
Sasa inakuwaje unakuja kuweka hadharani siri zao.
 
Kwa upupu huu ulio uandika hapa umeshalipwa na waliokutuma na kwa kufanya hivyo hongera saaaaana
 
Tutachanga sisi wanachama na raia wenye mapenzi mema na Lissu

Wewe wala usiwe na pressure, it is on us not you!
Semea nafsi yako na acha kusemea wengine.

Mimi binafsi sitomchangia mtu au chama ambacho kinapata ruzuku na hiyo pesa baada kufanya kazi za chama inakwenda kwenye mifuko ya kina mbowe
 
Ukiwa kama mmojawapo wa kutafuta michango, inamaanisha wewe ni mwanachama wa Chadema.
Sasa inakuwaje unakuja kuweka hadharani siri zao.

How foolish and ujinga wa ajabu
Kuweka hadharani Ni kwa ajiri yenu msio na habari hilo mpate habari za kuchangia chama
 
Semea nafsi yako na acha kusemea wengine..
Mimi binafsi sitomchangia mtu au chama ambacho kinapata ruzuku na hiyo pesa baada kufanya kazi za chama inakwenda kwenye mifuko ya kina mbowe
Sijakuzungumzia wewe....

Nikisema "SISI" sio lazima wewe uwepo..wengine wapo kama JokaKuu na wengine..

Sio wewe na wala nobody knows you!

Wewe usichange na kwa bahati mbaya ukichanga niambie nikurudishe 2X ya ulichochanga ukale na vyenge wenzio huko!

This is "our" affair and not yours....na ninaposem "our" wewe haupoo...

Fvck outta here!
 
Kuna Nyuzi zingine hazistahili hata kujibiwa, kama hii. Lakini kuna wale vichaa wanao washwashwa na maneno, lazima wajibu.

Mleta mada sio chadema na wala hajulikani. Ni muongo
 
Lisu pesa za kampeni Hana Sio Siri,

Mbowe asilaumiwe Ruzuku haipo Tena chache zilizobaki Ni kwa ajili ya kulipa wafanyakazi wa Chadema Kama maofisi, madereva, gharama za ofisi nk.

Tulisema humu toka mwanzo kuwa Chadema watajuta mbele ya Safari kumteua mgombea Maskini

Chama kingekuwa kina pesa haina shida. Lakini chama pesa hakina Halafu kinateua mgombea masikini asiye na pesa

Hawakuwa maamuzi sahihi .Sasa Kama pumzi ya pesa imekata kwenye kutafuta wadhamini tu ikifika kampeni si itakuwa hatari
Dah......Tusidanganyane...CDM kuna mpunga wa kutosha kabisa 🤭

Chadema kuchangishana bilioni 15/-
 
Inaonekana unachanganya ukali na jazba. Rais huyu sio mkali bali ana jazba. Kiongozi mkali huchukua hatua kwa yoyote bila kuwa na double standard. Lakini ukiona hatua zina macho ujue huyo ana jazba na ni msaka kiki.
Hakuna mkamilifu. Double standard hata wewe unayo huko uliko. Sema kwa vile hatuioni na iwapo wewe huwezi kujitambua basi bwabwaja ya mwenzako tu.

JPM kama binadamu anaweza akaamua kuacha kumuchukulia mtu hatua kulinga na mahitaji ya wakati huo.
 
Back
Top Bottom