Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Sema hamjui.. Mwaka huu CCM itahsinda .. Mwaka 2025 inaleta mtu wa aina mnayotaka.
2015 mlitaka Rais Mkali.. Sasa mnataka Rais Mpenda watu..CCM inahazina kubwa. January ataingia kwenye ulingo 2025 na agenda yenu itabadilika kabisa.
Inaonekana unachanganya ukali na jazba. Rais huyu sio mkali bali ana jazba. Kiongozi mkali huchukua hatua kwa yoyote bila kuwa na double standard. Lakini ukiona hatua zina macho ujue huyo ana jazba na ni msaka kiki.