Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kukosa pesa ya kampeni

Sema hamjui.. Mwaka huu CCM itahsinda .. Mwaka 2025 inaleta mtu wa aina mnayotaka.

2015 mlitaka Rais Mkali.. Sasa mnataka Rais Mpenda watu..CCM inahazina kubwa. January ataingia kwenye ulingo 2025 na agenda yenu itabadilika kabisa.

Inaonekana unachanganya ukali na jazba. Rais huyu sio mkali bali ana jazba. Kiongozi mkali huchukua hatua kwa yoyote bila kuwa na double standard. Lakini ukiona hatua zina macho ujue huyo ana jazba na ni msaka kiki.
 
Mbona unahangaika?
Nyie si mmejenga Flyover,sgr,stiglers gorge,
Lakini mkasahau Kuajiri vizuri wasomi,hali ya uchumi,mkasahau kuongeza mshahara,mkatunga sheria .
Usipite basi kwenye izo fly over kama zinakuuma sana.
Watu gani amna shukrani nyinyi.kila jambo jema la nchi yetu mnabeza.
 
Ukisoma post za wana CCM hadi Huruma, Tundu Lissu akiishiwa pesa au hana hela za kampeni mna weweseka?
Ndiyo ujuwe kuwa sasa hivi hali ndani ya ccm ni tete sana, wanamuogopa sana mh Lissu.

Wanajitahidi kuanzisha kila baya juu ya cdm ili kujaribu kuwabadili watu mawazo na mapenzi yao waliyo nayo kwa cdm.
 
Usipite basi kwenye izo fly over kama zinakuuma sana.
Watu gani amna shukrani nyinyi.kila jambo jema la nchi yetu mnabeza.
Kwenye fly over tutapita na ndege tutazipanda na kuwakosoa hatutaacha.
 
Umechanganya mambo mengi, mara ruzuku ,michango ya wabunge na Mwenyekiti Mbowe kugoma kutoa fedha mara eti amejitenga na uchaguzi.Binafsi sijaelewa nini ni nini!!.

Dadavua kwa undani zaidi tukuelewe.
Hapo alipo ishia ndiyo mwisho wa akili yake.
 
Ndio maana mnaopigana mitama kwa akili zenu za kijinga sasa akikosa hela ya kampen wewe unakuhusu non endeleeni kupigana mitama
Hiyo inawezekana ikawa ni mojawapo ya ilani ya chama chao
 
Na mlivyo wajinga mkapiga risasi maskini mkazuia maskini kuombewa.mlichoshindwa ni kumzuia MUNGU asiponye masikini yule mliopanga kumuuwa. Leo masikini anatembea akimtukuza MUNGU mbele ya macho yenu Wauwaji.mioyo inawauma sana MUNGU kawakera sana kumponya Masikini LISU
 
Lisu hana hela za kampeni! Fullstop
 
Rebeka 1,

Wewe utakuwa mchaga wa Hai,maana badala ya kutafuta pesa mnakesha na kuhangaika mambo ya hovyo na yule disiii wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…