hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,203
- 1,007
Kwa muda waliofanya siasa sidhani kama hawajui gharama za uchaguzi ni zipi. Wasingeweza kuanza harakati za kuusaka urais kama hawana fedha za kampeni.Kwa kawaida pesa huwa sio kitu rahisi rahisi siku zote, lakini kampeni itaendelea japo kwa uchovu.
Si watu wanasema ametumwa na mabeberu? Hao hao watampa ninyi mnalalamoka nini?Lisu pesa za kampeni Hana Sio Siri,
Mbowe asilaumiwe Ruzuku haipo Tena chache zilizobaki Ni kwa ajili ya kulipa wafanyakazi wa Chadema Kama maofisi, madereva, gharama za ofisi nk.
Tulisema humu toka mwanzo kuwa Chadema watajuta mbele ya Safari kumteua mgombea Maskini
Chama kingekuwa kina pesa haina shida. Lakini chama pesa hakina Halafu kinateua mgombea masikini asiye na pesa
Hawakuwa maamuzi sahihi .Sasa Kama pumzi ya pesa imekata kwenye kutafuta wadhamini tu ikifika kampeni si itakuwa hatari
Mimi nitapima hoja za kila mgombea na then nitampigia kura mgombea kwa hoja zilizo nivutiaHuyo huyo tunampa kura zetu. Tunataka nchi ambayo haki zetu zitaheshimiwa.
Semea nafsi yako na acha kusemea wengine.Tutachanga sisi wanachama na raia wenye mapenzi mema na Lissu
Wewe wala usiwe na pressure, it is on us not you!
Kuweka hadharani Ni kwa ajiri yenu msio na habari hilo mpate habari za kuchangia chamaUkiwa kama mmojawapo wa kutafuta michango, inamaanisha wewe ni mwanachama wa Chadema.
Sasa inakuwaje unakuja kuweka hadharani siri zao.
How foolish and ujinga wa ajabu
Heshimu maono ya mtu litakuwa Jambo jema kwako siku za mbeleniKwa upupu huu ulio uandika hapa umeshalipwa na waliokutuma na kwa kufanya hivyo hongera saaaaana
Sijakuzungumzia wewe....Semea nafsi yako na acha kusemea wengine..
Mimi binafsi sitomchangia mtu au chama ambacho kinapata ruzuku na hiyo pesa baada kufanya kazi za chama inakwenda kwenye mifuko ya kina mbowe
Ndugu penda Sana kusemea nafsi yako na sio nafsi za wengineTutachanga sisi wanachama na raia wenye mapenzi mema na Lissu
Wewe wala usiwe na pressure,it is on us not you!
Dah......Tusidanganyane...CDM kuna mpunga wa kutosha kabisa 🤭Lisu pesa za kampeni Hana Sio Siri,
Mbowe asilaumiwe Ruzuku haipo Tena chache zilizobaki Ni kwa ajili ya kulipa wafanyakazi wa Chadema Kama maofisi, madereva, gharama za ofisi nk.
Tulisema humu toka mwanzo kuwa Chadema watajuta mbele ya Safari kumteua mgombea Maskini
Chama kingekuwa kina pesa haina shida. Lakini chama pesa hakina Halafu kinateua mgombea masikini asiye na pesa
Hawakuwa maamuzi sahihi .Sasa Kama pumzi ya pesa imekata kwenye kutafuta wadhamini tu ikifika kampeni si itakuwa hatari
Hamueleweki mara wanatumia na mabeberu mara hawana pesa, mbona mnatesekaHali ni mbaya kwa kweli.ni swala la muda tu ila CDM wana hali mbaya ya uchumi.
Hakuna mkamilifu. Double standard hata wewe unayo huko uliko. Sema kwa vile hatuioni na iwapo wewe huwezi kujitambua basi bwabwaja ya mwenzako tu.Inaonekana unachanganya ukali na jazba. Rais huyu sio mkali bali ana jazba. Kiongozi mkali huchukua hatua kwa yoyote bila kuwa na double standard. Lakini ukiona hatua zina macho ujue huyo ana jazba na ni msaka kiki.