Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mass stupidity. Prof.Assad.Lini Watanzania walifuta adui ujinga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mass stupidity. Prof.Assad.Lini Watanzania walifuta adui ujinga?
Nenda mahakamani, kutaja tu haitoshi wala haitishi.
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema kuna mchezo haramu unafanyika kwenye utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nchini, na kama wahusika watabisha (watakanusha) tuhuma hizi basi atawataja hadharani.
"Kuna biashara inafanyika na mimi nitataja majina mtashangaa, kuna siku nitataja majina mtashangaa. Kuna watu wanapewa vibali anaambiwa hivi kwa kila kilo moja ya kibali cha kuagiza sukari nje lipa Tsh. 200. Tukikupa tani 30,000, ni kilo milioni 30, zidisha mara 200 ni Tsh. Bilioni 6."
"Mfanyabiashara analipa Bilioni 6 anapewa kibali cha kuagiza sukari, anaagiza sukari anakuja kuongeza yeye Tsh. 1000 juu, wewe unanunua sukari bei imeongezeka kwa Tsh. 1000 ya mfanyabiashara na 200 ya hii biashara ya huyu malkia na watu wake wa Ikulu."
Ameongeza "Kama kuna mtu anabisha anataka tutaje orodha ya viongozi wa kidini waliopewa vibali vya sukari, viongozi wa kidini, Shehe gani kwenye nchi hii ana duka la sukari, au askofu gani kwenye nchi hii ana duka la sukari? Anapewaje kibali cha kuagiza tani 35,000 za sukari afu yeye anaenda kuuza kwa wafanyabiashara anawaambia nipe mia mbili mia mbili kwa kilo, wakibisha na wabishe waone. "
Debe tupu.Mpina na Lisu kiboko Sbdul na Mamiii yake......kumekucha.....
Muda utaongea.....kuna siku system itaamka....wanaona wanajizima data tuDebe tupu.
Ulifutwa walipokuwa mstari wa mbele katika kupigania uhuru wa makoloni na kukataa ukoloni mambo leo; lakini ujinga ukarudishwa kwa Nguvu na Ari Mpya na Kasi Mpya", hadi leo hii tunaendelea kuogelea kwenye ujinga huo mpya tulio uokota upya.Lini Watanzania walifuta adui ujinga?
Mahakama zipi, hizo Makonda alizosema huwezi kupata haki?Nenda mahakamani, kutaja tu haitoshi wala haitishi.
Kila dakika ni hatua ,jana sio leo ,na kesho haiwezi kuwa kesho kutwa mkuu ,Lini Watanzania walifuta adui ujinga?
Lakini madhara ya ufisadi wa maccm ndo tumeyazoea zaidiNini kinafanya hoja za wapinzani zisitikise nchi? Watu wameshawazoea kwamba ni wa hivyo hivyo tu?
Mkuu kwa hii kitu tunaenda kujua nani yupo na watz , misukari imeletwa kama kweli ,hatujui usalama wake , inaumizaa au itaumiza watu kwa namna gani kama kweli ,sio mimi ,wewe ndugu zako haijalishi waishi nje ya nchi au la ,alafu tunaleta utani , uchama katika jambo hili,Debe tupu.
Achana na mkuu na bei kwanza je afya zetu tuko salama , haya ni kama magendo tu , na kama ndivyo ubora wake upo vipi kwa mtumiaji hili kwanza alafu , ndo tuje kwenye ufisadiLakini madhara ya ufisadi wa maccm ndo tumeyazoea zaidi
Yaani tunanunua sukari tshS elfu 6 kwa kilo badala ya tsh elfu 2.5 alafu
Kuna mtu chawa anachekelea upuuzi
Hii haikubaliki
Huyu Mwamba siku zote yuko Mbele ya Muda.
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema kuna mchezo haramu unafanyika kwenye utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nchini, na kama wahusika watabisha (watakanusha) tuhuma hizi basi atawataja hadharani.
"Kuna biashara inafanyika na mimi nitataja majina mtashangaa, kuna siku nitataja majina mtashangaa. Kuna watu wanapewa vibali anaambiwa hivi kwa kila kilo moja ya kibali cha kuagiza sukari nje lipa Tsh. 200. Tukikupa tani 30,000, ni kilo milioni 30, zidisha mara 200 ni Tsh. Bilioni 6."
"Mfanyabiashara analipa Bilioni 6 anapewa kibali cha kuagiza sukari, anaagiza sukari anakuja kuongeza yeye Tsh. 1000 juu, wewe unanunua sukari bei imeongezeka kwa Tsh. 1000 ya mfanyabiashara na 200 ya hii biashara ya huyu malkia na watu wake wa Ikulu."
Ameongeza "Kama kuna mtu anabisha anataka tutaje orodha ya viongozi wa kidini waliopewa vibali vya sukari, viongozi wa kidini, Shehe gani kwenye nchi hii ana duka la sukari, au askofu gani kwenye nchi hii ana duka la sukari? Anapewaje kibali cha kuagiza tani 35,000 za sukari afu yeye anaenda kuuza kwa wafanyabiashara anawaambia nipe mia mbili mia mbili kwa kilo, wakibisha na wabishe waone. "
ImethibitikaHili naamini ni la kweli
Kumbe misukari yenyewe itatuaa?😂😂😂Achana na mkuu na bei kwanza je afya zetu tuko salama , haya ni kama magendo tu , na kama ndivyo ubora wake upo vipi kwa mtumiaji hili kwanza alafu , ndo tuje kwenye ufisadi
Luhanga kawataja? Unaongelea Lissu wa Nchi ganiLissu ni mtu muoga kuliko kunguru,tunataka nchi safi hivyo Lissu angewataja tujue,athibitishe kama kweli yeye ni jasiri.
Sikiliza sijasema itatua ,ila kama ya viwango ya kijinga madhala yake ya kesho yaweza kuwa makubwa ,that's nikataka taasisi za kimataifa chunguza na sio za tz ,kujua ipo vizuri au la , .Kumbe misukari yenyewe itatuaa?😂😂😂
Taja tuu watu wang'oke,huu upumbavu wa kununua Sukari 4,500 ukome mara Moja
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema kuna mchezo haramu unafanyika kwenye utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nchini, na kama wahusika watabisha (watakanusha) tuhuma hizi basi atawataja hadharani.
"Kuna biashara inafanyika na mimi nitataja majina mtashangaa, kuna siku nitataja majina mtashangaa. Kuna watu wanapewa vibali anaambiwa hivi kwa kila kilo moja ya kibali cha kuagiza sukari nje lipa Tsh. 200. Tukikupa tani 30,000, ni kilo milioni 30, zidisha mara 200 ni Tsh. Bilioni 6."
"Mfanyabiashara analipa Bilioni 6 anapewa kibali cha kuagiza sukari, anaagiza sukari anakuja kuongeza yeye Tsh. 1000 juu, wewe unanunua sukari bei imeongezeka kwa Tsh. 1000 ya mfanyabiashara na 200 ya hii biashara ya huyu malkia na watu wake wa Ikulu."
Ameongeza "Kama kuna mtu anabisha anataka tutaje orodha ya viongozi wa kidini waliopewa vibali vya sukari, viongozi wa kidini, Shehe gani kwenye nchi hii ana duka la sukari, au askofu gani kwenye nchi hii ana duka la sukari? Anapewaje kibali cha kuagiza tani 35,000 za sukari afu yeye anaenda kuuza kwa wafanyabiashara anawaambia nipe mia mbili mia mbili kwa kilo, wakibisha na wabishe waone. "
Sio kutoka madarakani tu kwanza kujua viwango vya sukari hii ,je ipo na ubora kwa matumizi ya binadam ? Kama sivyo uko bibi yangu mwisho wa reli ambae hajui lolote bali sukari ni sukari tu lakini hata mie usalama wa kiafya kwa badae upo katika hali gani? Watu na fani zao sie wengine ni kwenda kwa Mangi na kupima kilo ,nusu ,robo mpaka vijiko , n.kTaja tuu watu wang'oke,huu upumbavu wa kununua Sukari 4,500 ukome mara Moja