Kwa nini unahangaika namna hii wakati huu. Mmeahidiwa fungu zaidi kuelekea kwenye uchaguzi mkuu?
Mmejiandaa vizuri kwa haya yatakayo fuata katika muda mfupi huu wa miezi michache ijayo, ikiwa ni pamoja na kutambua uhusika wenu katika maumivu watakayoweza kuwapata baadhi yetu ikiwa ni pamoja na kumwaga damu za waTanzania; kwa faida gani; ya hivyo vijisenti mnavyotupiwa chini mviokote?
Ndiyo, uko sahihi kabisa unapozungumzia "chuki" inapohusu watu kama wewe na hao wanaokutuma kuja hapa. Nisipokuwa na chuki na watu mnaoinajisi Tanzania, nitakuwa na chuki ya jambo gani?