Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuna wana CHADEMA wananiita dikteta uchwara

Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuna wana CHADEMA wananiita dikteta uchwara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Usihangaike bure kutaka kujuwa 'status' yangu ipoje. .
Hahahahaha tukiwaambia mmechanganyikiwa hamuelewi!! Teh Teh Teh takataka Kama wewe mi nikujie inisaidie nini? Yaani kupitia maandishi yako tu directly unaonesha ni mtu mwenye dhiki, chuki na ni hayawani usiye na mbele wala nyuma!!

We kenge kweli 😂😂
 
Nashukuru umekwisha nielewa. Haya mengine yote ni kujikosha tu.

Hayo ya "chuki" nilisha kueleza kitambo kwamba uko sahihi kabisa. Nina "chuki" sana na watu wa aina yenu, na hao unao poteza muda wako kuwatetea humu, kwa kuinajisi nchi yetu. Hili nina chuki nalo sana.

Sasa sijui unataka nikusaidie vipi mtu duni kama wewe.
 
Take your pills!
 
Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu wakati akihutubia wanawake wa CHADEMA Mlimani city kwenye siku ya wanawake duniani amelalamika kuwa kuna wanachadema na wengine ni wajumbe wa kamati kuu wanasema Lisu ni Mwenyekiti ambaye ni dikteta uchwara kutokana na msimamo wake wa no reform no election.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Tundu Lisu amelalamika kuwa si haki yeye kuitwa dikteta uchwara kwani msimamo wa no reform no election ni msimamo wa chama toka Mwenyekiti akiwa Freeman Mbowe, na uamuzi huo ulitokana na vikao halali vya chama.

Huna karma ya uongozi.Unalialia tu
 
Back
Top Bottom