Unavyoandika kitu uwe umekielewa vizuri. Wap kamshambulia mbowe?Lissu sasa ni Mwenyekiti wa Taifa kama hajaridhika na msimamo wa Mwenyekiti mtangulizi angeweza kufanya mabadiliko muda wowote kuanzia sasa.
Masuala ya kusema jambo hili liliamuliwa kipindi cha Mbowe maana yake ni kwamba likishindwa kufanikiwa utarusha lawama kwa Mbowe.Likifanikiwa utajivika wewe utukufu kwamba ulilisimamia vizuri.
Lissu amekuwa ni mwanasiasa anayejipenda binafsi.Yuko tayari kumshambulia yoyote wakati wowote ili kufikia malengo yake.
Lissu mwache Mbowe apumzike acha tabia za kumsukumia upuuzi wako.
You could be sick!! Go take your pills!!Kwa nini unahangaika namna hii wakati huu. Mmeahidiwa fungu zaidi kuelekea kwenye uchaguzi mkuu?
Mmejiandaa vizuri kwa haya yatakayo fuata katika muda mfupi huu wa miezi michache ijayo, ikiwa ni pamoja na kutambua uhusika wenu katika maumivu watakayoweza kuwapata baadhi yetu ikiwa ni pamoja na kumwaga damu za waTanzania; kwa faida gani; ya hivyo vijisenti mnavyotupiwa chini mviokote?
Ndiyo, uko sahihi kabisa unapozungumzia "chuki" inapohusu watu kama wewe na hao wanaokutuma kuja hapa. Nisipokuwa na chuki na watu mnaoinajisi Tanzania, nitakuwa na chuki ya jambo gani?
lakini alivyosema Lissu ni sahihi hii ni Taasisi msimamo wa chama huendelezwa na kiongozi anayefuata. Asilaumiwe vinginevyo hata CDM wakiingia kwenye uchaguzi wataibiwa kura mpaka wakome. hawatasahau.Lissu sasa ni Mwenyekiti wa Taifa kama hajaridhika na msimamo wa Mwenyekiti mtangulizi angeweza kufanya mabadiliko muda wowote kuanzia sasa.
Masuala ya kusema jambo hili liliamuliwa kipindi cha Mbowe maana yake ni kwamba likishindwa kufanikiwa utarusha lawama kwa Mbowe.Likifanikiwa utajivika wewe utukufu kwamba ulilisimamia vizuri.
Lissu amekuwa ni mwanasiasa anayejipenda binafsi.Yuko tayari kumshambulia yoyote wakati wowote ili kufikia malengo yake.
Lissu mwache Mbowe apumzike acha tabia za kumsukumia upuuzi wako.
KAZI KUBWA AUNGANISHE CHAMA KISHA MENGINE YAFUATE. AWAITE IN PERSON KUWEKA MAMBO SAWA. HAWEZI KUONGOZA PEKE YAKE.Hajaanza uongozi. Lissu alikuwa the second most powerful person in Chadema. Alikuwa tayari ana constituency. Baada ya uchaguzi ule his first priority ilipaswa kuwa kuunganisha chama. Angeangalia huo upotoshaji unamuathiri vipi? Kama No Reform No Elections ni msimamo mzuri wa chama ana hasara gani kama akibebeshwa? Matendo yake ndio yataonyesha kama yeye ni dikteta uchwara au la.
Lakini mbona hata yeye alipotosha mengi kuhusu Mwenyekiti wake? Ajue kuwa hiyo ndio misalaba ya uongozi.
Amandla...
Kwamba Lissu hashindi uenyekitiUongo upi?
Amandla...
Ulitaka aseme kuwa Lissu atashinda uchaguzi?Kwamba Lissu hashindi uenyekiti
Ukweli unajulikana, hata akiukana, bado ukweli utabaki kuwa ukweli: lisu ni dikiteta.Alikuwa anaweka mambo sawa ili upotoshaji usionekane kuwa ndio ukweli upo hapo?!
Mama anayeuwa watu na kuwapoteza je?!Ukweli unajulikana, hata akiukana, bado ukweli utabaki kuwa ukweli: lisu ni dikiteta.
What do you know about pills?You could be sick!! Go take your pills!!
KAZI KUBWA AUNGANISHE CHAMA KISHA MENGINE YAFUATE. AWAITE IN PERSON KUWEKA MAMBO SAWA. HAWEZI KUONGOZA PEKE YAKE.
Hapo sasa umekuwa bonge la mzunguWhat do you know about pills?
My advice to you is clear. Use part of the loot from Abdul to care for your mental health which is clearly in jeopardy.You should know that money cannot buy you everything!
Wewe ni maskini kama wale wa enzi zile walioamini kila Lori na filling station ya nchi hii ni ya Riziwani Kikwete.... mnarudia upumbavu ule ule kwa Abduli mkiamini ana hela za kumpa kila mtu maana ni tajiri!! Mna fikira za kichawi na umaskini umekula sana akili zenu kiasi cha kujaa kutu na maji ya siki vifuani kiasi cha kubeua tindikali tu midomoni mwenu!!What do you know about pills?
My advice to you is clear. Use part of the loot from Abdul to care for your mental health which is clearly in jeopardy.You should know that money cannot buy you everything!
Nitakujibu kwa njia yoyote utakayo taka nikujibu. Unapojigeuza kuwa chizi, nitakujibu hivyo hivyo!Hapo sasa umekuwa bonge la mzungu
Ni dikteta uchwaraMwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu wakati akihutubia wanawake wa CHADEMA Mlimani city kwenye siku ya wanawake duniani amelalamika kuwa kuna wanachadema na wengine ni wajumbe wa kamati kuu wanasema Lisu ni Mwenyekiti ambaye ni dikteta uchwara kutokana na msimamo wake wa no reform no election.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Tundu Lisu amelalamika kuwa si haki yeye kuitwa dikteta uchwara kwani msimamo wa no reform no election ni msimamo wa chama toka Mwenyekiti akiwa Freeman Mbowe, na uamuzi huo ulitokana na vikao halali vya chama.
Inaonyesha mambo haya unayajuwa vizuri, lakini usifikiri upumbavu unao ujuwa wewe kila mtu yupo hivyo.Wewe ni maskini kama wale wa enzi zile walioamini kila Lori na filling station ya nchi hii ni ya Riziwani Kikwete.... mnarudia upumbavu ule ule kwa Abduli mkiamini ana hela za kumpa kila mtu maana ni tajiri!! Mna fikira za kichawi na umaskini umekula sana akili zenu kiasi cha kujaa kutu na maji ya siki vifuani kiasi cha kubeua tindikali tu midomoni mwenu!!
Mtakufa na ushenzi wenu mafukara na mahayawani wakubwa nyie!
Unazungumza hayo kwa kutumia anonymous ID? Unanijadili Anonymous na kufikia hizo conclusion? Kiufupi maandishi tu yanaonesha ni mtu uliyechanganyikiwa.Inaonyesha mambo haya unayajuwa vizuri, lakini usifikiri upumbavu unao ujuwa wewe kila mtu yupo hivyo.
Ni dhahiri kabisa wewe ni bidhaa tu uliyejiweka sokoni kununuliwa kama malaya tu!
Huna 'conviction' yoyote katika maisha yako.
Wewe ni kinyago tu, huna uwezo wa kunijuwa mimi kama nimechanganyikiwa.Unazungumza hayo kwa kutumia anonymous ID? Unanijadili Anonymous na kufikia hizo conclusion? Kiufupi maandishi tu yanaonesha ni mtu uliyechanganyikiwa.