Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Anamsifu Msigwa aliyekuwa nae Chadema. Amesema wazi kuwa alichokifanya sio sahihi lakini hakiondoi ukweli wa mchango wake kwa Chadema wakati akiwa huko. Hivyo kwa Zitto, Slaa, Halima Bulaya n.k. Walikuwa watu muhimu sana walipokuwa Chadema ndio maana kuondoka kwao kulikuwa pigo. Ni kama mke wako akikukimbia hakuondoi ukweli kuwa alikuzalia watoto, alikulisha na alikuuguza wakati wa ndoa yenu. Huo ndio ukweli wenyewe.Nadhani Lissu hapaswi kumsifu Msigwa anakosea sana kama ni kweli kasema hivyo.
Msigwa anazunguka kila mahali kukitukana chama halafu unasema ni mtu mhimu ?.
Msigwa kaondoka Chadema baada ya kushindwa uchaguzi.Anamsifu Msigwa aliyekuwa nae Chadema. Amesema wazi kuwa alichokifanya sio sahihi lakini hakiondoi ukweli wa mchango wake kwa Chadema wakati akiwa huko. Hivyo kwa Zitto, Slaa, Halima Bulaya n.k. Walikuwa watu muhimu sana walipokuwa Chadema ndio maana kuondoka kwao kulikuwa pigo. Ni kama mke wako akikukimbia hakuondoi ukweli kuwa alikuzalia watoto, alikulisha na alikuuguza wakati wa ndoa yenu. Huo ndio ukweli wenyewe.
Amandla...
Naam. Ila sioni wanachama wa kawaida wakipandishwa jukwaani na kuwa karibu na viongozi wa CCM kama alivyo mwanachama wa CCM Msigwa.Msigwa kaondoka Chadema baada ya kushindwa uchaguzi.
Msigwa kaenda CCM kama mwanachama wa kawaida.
Kitambo sana mwanaMUNGU AWASAIDIE CHADEMA MAANA NDO CHAMA TULICHOBAKISHA NCHI HII
Tangu huyo Msigwa ahamie CCM vitendo vya utekaji na na kuuwawa kwa wanachama nan viongozi wa Chadema vimeongezeka sana, yeye anashirikiana na watekaji kuwapa taarifa za jinsi ya kuwanasa wahangaMakamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu anasema Chadema imepoteza " pakubwa" kwa sababu Mchungaji Msigwa alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu kwa miaka 10 mfululizo hivyo anayajua mambo mengi/ yote ya Chadema
Lisu alikuwa anajibu swali la Mtangazaji nguli Chief Odemba
Ahsanteni Sana
Petro akasema " ijapokuwa kufa pamoja nawe sitakukana kamwe"
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu anasema Chadema imepoteza " pakubwa" kwa sababu Mchungaji Msigwa alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu kwa miaka 10 mfululizo hivyo anayajua mambo mengi/ yote ya Chadema
Lisu alikuwa anajibu swali la Mtangazaji nguli Chief Odemba
Ahsanteni Sana
Petro akasema " ijapokuwa kufa pamoja nawe sitakukana kamwe"
Na anaonesha anawadanganya na wanamuamini.Halafu anajiita mchungaji wakati kageuka kuwa mchungwaji.Tangu huyo Msigwa ahamie CCM vitendo vya utekaji na na kuuwawa kwa wanachama nan viongozi wa Chadema vimeongezeka sana, yeye anashirikiana na watekaji kuwapa taarifa za jinsi ya kuwanasa wahanga
Ni wakati sasa wana Chadema wamuone Msigwa kama nyoka popote atakapoonekana apondwe kichwa hadi afe.Tapeli Msigwa ndiyo aliyesema kwamba Meddy ni mtu hatari.
mawazo ya kijing kabisa kuwahi kutokea duniani hayoTangu huyo Msigwa ahamie CCM vitendo vya utekaji na na kuuwawa kwa wanachama nan viongozi wa Chadema vimeongezeka sana, yeye anashirikiana na watekaji kuwapa taarifa za jinsi ya kuwanasa wahanga
Wee jamaa upo?MUNGU AWASAIDIE CHADEMA MAANA NDO CHAMA TULICHOBAKISHA NCHI HII
Na hata issue ya kongamano la vijana lazima aliwaingiza chaka.Nisamehewe kwa kuandika attack:Watu wafupi wengi na si wote akili zao ni za hovyo/snitches sana.Ni wakati sasa wana Chadema wamuone Msigwa kama nyoka popote atakapoonekana apondwe kichwa hadi afe.
Nipo ndugu yangu za uzima?Wee jamaa upo?
Nimerud ndugu yangu tumekuwa sasa ujana tumeuweka pemben kwanzaKitambo sana mwana
Na hata issue ya kongamano la vijana lazima aliwaingiza chaka.Nisamehewe kwa kuandika attack:Watu wafupi wengi na si wote akili zao ni za hovyo/snitches sana.
Hata ile taarifa ya Jeshi la Polisi waliyotoa kuwa Chadema wanapanga kuvamia vituo vya Poilisi ni Msigwa huyuhuyu aliwaingiza chaka. Ni wakati sasa wana Chadema wachukue sheria mkononi kumshughulikia huyu tumbili Peter Msigwa.Na hata issue ya kongamano la vijana lazima aliwaingiza chaka.Nisamehewe kwa kuandika attack:Watu wafupi wengi na si wote akili zao ni za hovyo/snitches sana.
Njema kiasi kama unavyoona hali haya hewa.Nipo ndugu yangu za uzima?