Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuondoka kwa Msigwa CHADEMA ni pigo sana kwangu na tumepoteza mtu muhimu sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nadhani Lissu hapaswi kumsifu Msigwa anakosea sana kama ni kweli kasema hivyo.

Msigwa anazunguka kila mahali kukitukana chama halafu unasema ni mtu mhimu ?.
Anamsifu Msigwa aliyekuwa nae Chadema. Amesema wazi kuwa alichokifanya sio sahihi lakini hakiondoi ukweli wa mchango wake kwa Chadema wakati akiwa huko. Hivyo kwa Zitto, Slaa, Halima Bulaya n.k. Walikuwa watu muhimu sana walipokuwa Chadema ndio maana kuondoka kwao kulikuwa pigo. Ni kama mke wako akikukimbia hakuondoi ukweli kuwa alikuzalia watoto, alikulisha na alikuuguza wakati wa ndoa yenu. Huo ndio ukweli wenyewe.

Amandla...
 
Msigwa kaondoka Chadema baada ya kushindwa uchaguzi.

Msigwa kaenda CCM kama mwanachama wa kawaida.
 
Lissu ni smart, nimependa kwenye nyeupe.. nyeupe. Nyeusi, nyeusi…
Kakubali wamepoteza kwa Msigwa..
 
Msigwa kaondoka Chadema baada ya kushindwa uchaguzi.

Msigwa kaenda CCM kama mwanachama wa kawaida.
Naam. Ila sioni wanachama wa kawaida wakipandishwa jukwaani na kuwa karibu na viongozi wa CCM kama alivyo mwanachama wa CCM Msigwa.

Amandla...
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu anasema Chadema imepoteza " pakubwa" kwa sababu Mchungaji Msigwa alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu kwa miaka 10 mfululizo hivyo anayajua mambo mengi/ yote ya Chadema

Lissu alikuwa anajibu swali la Mtangazaji nguli Chief Odemba

Ahsanteni Sana

Petro akasema " ijapokuwa kufa pamoja nawe sitakukana kamwe"
 
Hapo wapenzi wa Chadema sijui watasimamia wapi? patamu hapo
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu anasema Chadema imepoteza " pakubwa" kwa sababu Mchungaji Msigwa alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu kwa miaka 10 mfululizo hivyo anayajua mambo mengi/ yote ya Chadema

Lisu alikuwa anajibu swali la Mtangazaji nguli Chief Odemba

Ahsanteni Sana

Petro akasema " ijapokuwa kufa pamoja nawe sitakukana kamwe"
Tangu huyo Msigwa ahamie CCM vitendo vya utekaji na na kuuwawa kwa wanachama nan viongozi wa Chadema vimeongezeka sana, yeye anashirikiana na watekaji kuwapa taarifa za jinsi ya kuwanasa wahanga
 
Tapeli Msigwa ndiyo aliyesema kwamba Meddy ni mtu hatari.
 
Tangu huyo Msigwa ahamie CCM vitendo vya utekaji na na kuuwawa kwa wanachama nan viongozi wa Chadema vimeongezeka sana, yeye anashirikiana na watekaji kuwapa taarifa za jinsi ya kuwanasa wahanga
Na anaonesha anawadanganya na wanamuamini.Halafu anajiita mchungaji wakati kageuka kuwa mchungwaji.
 
Tangu huyo Msigwa ahamie CCM vitendo vya utekaji na na kuuwawa kwa wanachama nan viongozi wa Chadema vimeongezeka sana, yeye anashirikiana na watekaji kuwapa taarifa za jinsi ya kuwanasa wahanga
mawazo ya kijing kabisa kuwahi kutokea duniani hayo
 
Na hata issue ya kongamano la vijana lazima aliwaingiza chaka.Nisamehewe kwa kuandika attack:Watu wafupi wengi na si wote akili zao ni za hovyo/snitches sana.
Hata ile taarifa ya Jeshi la Polisi waliyotoa kuwa Chadema wanapanga kuvamia vituo vya Poilisi ni Msigwa huyuhuyu aliwaingiza chaka. Ni wakati sasa wana Chadema wachukue sheria mkononi kumshughulikia huyu tumbili Peter Msigwa.
 
Back
Top Bottom