Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Anamsifu Msigwa aliyekuwa nae Chadema. Amesema wazi kuwa alichokifanya sio sahihi lakini hakiondoi ukweli wa mchango wake kwa Chadema wakati akiwa huko. Hivyo kwa Zitto, Slaa, Halima Bulaya n.k. Walikuwa watu muhimu sana walipokuwa Chadema ndio maana kuondoka kwao kulikuwa pigo. Ni kama mke wako akikukimbia hakuondoi ukweli kuwa alikuzalia watoto, alikulisha na alikuuguza wakati wa ndoa yenu. Huo ndio ukweli wenyewe.Nadhani Lissu hapaswi kumsifu Msigwa anakosea sana kama ni kweli kasema hivyo.
Msigwa anazunguka kila mahali kukitukana chama halafu unasema ni mtu mhimu ?.
Amandla...