Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila ilikuwaje mka-kaa na mtu asiye na AKILI kama alivyosema kwa CHIEF ODEMBA.?Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ametoa ya moyoni baada ya kuondoka kwa Mchugaji Peter Msigwa ndani ya chama hicho na kuelekea CCM akisema ni pigo sana kwake na CHADEMA.
Amesema Msigwa alikuwa mtu muhimu sana na nguvu ndani ya CHADEMA" mfano tu ameishinda mara 2 nafasi ya Ubunge na wapizani wakubwa wa CCM lakini amekuwa kwenye kamati kuu kwa miaka 10 kwahiyo ukisema atujapoteza awezi kuwa sawa".
Soma Pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Asante sana mkuu balikiwa sanaNjema kiasi kama unavyoona hali haya hewa.
Karibu sana
mnatapatapa sana chademaHata ile taarifa ya Jeshi la Polisi waliyotoa kuwa Chadema wanapanga kuvamia vituo vya Poilisi ni Msigwa huyuhuyu aliwaingiza chaka. Ni wakati sasa wana Chadema wachukue sheria mkononi kumshughulikia huyu tumbili Peter Msigwa.