Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuondoka kwa Msigwa CHADEMA ni pigo sana kwangu na tumepoteza mtu muhimu sana

Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuondoka kwa Msigwa CHADEMA ni pigo sana kwangu na tumepoteza mtu muhimu sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ametoa ya moyoni baada ya kuondoka kwa Mchugaji Peter Msigwa ndani ya chama hicho na kuelekea CCM akisema ni pigo sana kwake na CHADEMA.

Amesema Msigwa alikuwa mtu muhimu sana na nguvu ndani ya CHADEMA" mfano tu ameishinda mara 2 nafasi ya Ubunge na wapizani wakubwa wa CCM lakini amekuwa kwenye kamati kuu kwa miaka 10 kwahiyo ukisema atujapoteza awezi kuwa sawa".

Soma Pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Ila ilikuwaje mka-kaa na mtu asiye na AKILI kama alivyosema kwa CHIEF ODEMBA.?
 
Hata ile taarifa ya Jeshi la Polisi waliyotoa kuwa Chadema wanapanga kuvamia vituo vya Poilisi ni Msigwa huyuhuyu aliwaingiza chaka. Ni wakati sasa wana Chadema wachukue sheria mkononi kumshughulikia huyu tumbili Peter Msigwa.
mnatapatapa sana chadema
 
Back
Top Bottom