kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Jina fuso....Hicho kipara kipya kina kitu chochote ndani kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina fuso....Hicho kipara kipya kina kitu chochote ndani kweli?
Huyo mfu hakuwa na dini Wala thehebu mpaka mazishi yake yaongozwe kisiasaTaarifa iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Amani Golugwa imeeleza kwamba, Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ataongoza Mazishi ya Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Manyara, Derrick Magoma.
Taarifa zinaeleza kwamba Derrick atazikwa Mkoa Manyara tarehe 12/02/2025.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee Roho ya Derrick, Amina
Nakumbuka mara ya mwisho, aLimzika kamanda aliyeuawa na ccm kupitia jeshi la magereza pale Manyoni, wakati wa ucaguzi wa serikali za mitaa au tuite uchaguzi wa MchengerwaUtarudi hapa kuja kuniomba radhi.......!
Mara ya mwisho alishiriki msiba wa mbwa wa Nassari akishirikiana na mwendawazimu lema!Nakumbuka mara ya mwisho, aLimzika kamanda aliyeuawa na ccm kupitia jeshi la magereza pale Manyoni, wakati wa ucaguzi wa serikali za mitaa au tuite uchaguzi wa Mchengerwa
Yeah, fuso wa fuso hapa.Jina fuso....
Kwamba huiamini hii taarifa?Kuna mdau aliweka habari mbaya ya ajali akiwa anaenda kumzika kaka yake
Habari za humu siku hizi huwa siamini sana
Uzi ulifutwa baada ya dkk 5 tu ila siwezi kurudia kuandika hayanihusu
Msibani si sehemu ya siasa....Ni lazima ahusishebsoasa, tukio ni la kisiasa, ingekuwa mkutano wa Injili kaalikwa ,ulikuwa sawa kusema asihusishe Siasa
Hapana Mkuu hii taarifa kuna nyingine kabla yake ila mods wameifuta labda ni fake newsKwamba huiamini hii taarifa?
Huyo kaka yake kafa lini?Nasikia mwenyekiti Lisu kapata ajali Dodoma akiekea mkoani singida kumzika kaka yake. Kuna ukweli jamani? Source ni maria sarungi
Taarifa iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Amani Golugwa imeeleza kwamba, Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ataongoza Mazishi ya Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Manyara, Derrick Magoma.
Taarifa zinaeleza kwamba Derrick atazikwa Mkoa Manyara tarehe 12/02/2025.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee Roho ya Derrick, Amina
Angalia Jamii Check ✔️Kwamba huiamini hii taarifa?
Niangalie nini?Angalia Jamii Check ✔️
Niangalie nini?
Kuhusu habari ya ajali inayosemekana kaiandika Sarungi huko X iliyomuhusisha LissuNiangalie nini?
Hakuna kitu kama hicho, Wala haikuandikwa na MariaKuhusu habari ya ajali inayosemekana kaiandika Sarungi huko X iliyomuhusisha Lissu
Usijali kama hukuiona pia
Mbona mnatuchanganya? Hebu wekeni mambo vizuri - kwa mfano:Tangu lini lissu akashiriki misiba?...atatoa udhuru aende zake ubelgiji waganga wake wamemwambia asikaribie maiti!
Muda utaongea!Mbona mnatuchanganya? Hebu wekeni mambo vizuri - kwa mfano:
TAARIFA YA KUSIKITISHA
Mwenyekiti wa Chadema (T) ndg. Tundu Lissu amepata ajali mbaya akiwa njiani..........
Halafu tena: Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ataongoza Mazishi ya Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Manyara, Derrick Magoma.
ZOTE NI ZA LEO 09/02/2025