Tundu Lissu kuongoza Mazishi ya Derrick Magoma yatakayofanyika Manyara 12/02/2025

Taarifa iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Amani Golugwa imeeleza kwamba, Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ataongoza Mazishi ya Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Manyara, Derrick Magoma.

Taarifa zinaeleza kwamba Derrick atazikwa Mkoa Manyara tarehe 12/02/2025.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee Roho ya Derrick, Amina
Kifo cha Derick kime nisikitisha sana. He was a strong man
Kama sio mapenzi ya Mungu basi alie tenda hii hila akutane na hukumu ya Mungu
 
Taarifa iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Amani Golugwa imeeleza kwamba, Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ataongoza Mazishi ya Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Manyara, Derrick Magoma.

Taarifa zinaeleza kwamba Derrick atazikwa Mkoa Manyara tarehe 12/02/2025.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee Roho ya Derrick, Amina
Duh Dr Magoma amefariki? Aiseee nimeshtuka sana.... mbona ghafla sana, alipata changamoto gani?
 
Tangu lini lissu akashiriki misiba?...atatoa udhuru aende zake ubelgiji waganga wake wamemwambia asikaribie maiti!
Kutukumuona ww haimaanishi hahudhurii, na sio sifa kuhudhuria kila msiba. Yaani sio kigezo cha kuwa mwenyekiti mzuri. Una lingine kwa msaada zaidi?
 
Kifo Cha kiongozi wa Chama Cha siasa,nwasifubwa mwanasiasa, kuhusu Siasa!!

Unatofaitisha vipi??🤔🤔🤔
Umenunua simu mpya nini boss, naona bado hujaizoea keypad yake. Au umeacha miwani ya kusomea mahali?
 
Utakuwa unamiliki cm mara ya kwanza, hujazoea, ndio maana hujui neno typing error 🤣😅🤣😅
 
Ukiwa na typing error nyingi ni tatizo. Kama ndio namiliki mara ya kwanza, nilipaswa kuwa nazo nyingi zaidi yako. Pitia post zako zote uone typing errors zako.
 
Tangu lini lissu akashiriki misiba?...atatoa udhuru aende zake ubelgiji waganga wake wamemwambia asikaribie maiti!
Pale Singida Kuna mgombea wa Uwenyekiti wa Kijiji mlimuua!! Kwenye mazishi hayo alikwenda mke wa babako?
 
Back
Top Bottom