Tundu Lissu kuongoza Mazishi ya Derrick Magoma yatakayofanyika Manyara 12/02/2025

Huyo mfu hakuwa na dini Wala thehebu mpaka mazishi yake yaongozwe kisiasa
 
Utarudi hapa kuja kuniomba radhi.......!
Nakumbuka mara ya mwisho, aLimzika kamanda aliyeuawa na ccm kupitia jeshi la magereza pale Manyoni, wakati wa ucaguzi wa serikali za mitaa au tuite uchaguzi wa Mchengerwa
 
Nakumbuka mara ya mwisho, aLimzika kamanda aliyeuawa na ccm kupitia jeshi la magereza pale Manyoni, wakati wa ucaguzi wa serikali za mitaa au tuite uchaguzi wa Mchengerwa
Mara ya mwisho alishiriki msiba wa mbwa wa Nassari akishirikiana na mwendawazimu lema!
 
Kuna mdau aliweka habari mbaya ya ajali akiwa anaenda kumzika kaka yake
Habari za humu siku hizi huwa siamini sana
Uzi ulifutwa baada ya dkk 5 tu ila siwezi kurudia kuandika hayanihusu
 
Kuna mdau aliweka habari mbaya ya ajali akiwa anaenda kumzika kaka yake
Habari za humu siku hizi huwa siamini sana
Uzi ulifutwa baada ya dkk 5 tu ila siwezi kurudia kuandika hayanihusu
Kwamba huiamini hii taarifa?
 
Huyo attention seeker mpayukaji hafai hata kuwa mkuu wa wilaya.....

#Nchi Kwanza!
 
Nasikia mwenyekiti Lisu kapata ajali Dodoma akiekea mkoani singida kumzika kaka yake. Kuna ukweli jamani? Source ni maria sarungi
 
Nasikia mwenyekiti Lisu kapata ajali Dodoma akiekea mkoani singida kumzika kaka yake. Kuna ukweli jamani? Source ni maria sarungi
Huyo kaka yake kafa lini?
 
Attachments

  • IMG-20250208-WA0635(2).jpg
    209.9 KB · Views: 3
Tangu lini lissu akashiriki misiba?...atatoa udhuru aende zake ubelgiji waganga wake wamemwambia asikaribie maiti!
Mbona mnatuchanganya? Hebu wekeni mambo vizuri - kwa mfano:
TAARIFA YA KUSIKITISHA
Mwenyekiti wa Chadema (T) ndg. Tundu Lissu amepata ajali mbaya akiwa njiani..........

Halafu tena: Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ataongoza Mazishi ya Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Manyara, Derrick Magoma.

ZOTE NI ZA LEO 09/02/2025
 
Muda utaongea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…