L Lengutee JF-Expert Member Joined Feb 16, 2011 Posts 421 Reaction score 531 Feb 10, 2025 #81 zitto junior said: Duh Dr Magoma amefariki? Aiseee nimeshtuka sana.... mbona ghafla sana, alipata changamoto gani? Click to expand... Lini huyu jamaa kawa dr??
zitto junior said: Duh Dr Magoma amefariki? Aiseee nimeshtuka sana.... mbona ghafla sana, alipata changamoto gani? Click to expand... Lini huyu jamaa kawa dr??
Nandagala One JF-Expert Member Joined Aug 19, 2020 Posts 1,913 Reaction score 2,286 Feb 10, 2025 #82 Tindo said: Ukiwa na typing error nyingi ni tatizo. Kama ndio namiliki mara ya kwanza, nilipaswa kuwa nazo nyingi zaidi yako. Pitia post zako zote uone typing errors zako. Click to expand... Ndio akili Yako ilipoishia??? Akili ya kuvukia barabara π π€£π π€£ that's nonsense to me!!
Tindo said: Ukiwa na typing error nyingi ni tatizo. Kama ndio namiliki mara ya kwanza, nilipaswa kuwa nazo nyingi zaidi yako. Pitia post zako zote uone typing errors zako. Click to expand... Ndio akili Yako ilipoishia??? Akili ya kuvukia barabara π π€£π π€£ that's nonsense to me!!
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Feb 10, 2025 #83 kipara kipya said: Tangu lini lissu akashiriki misiba?...atatoa udhuru aende zake ubelgiji waganga wake wamemwambia asikaribie maiti! Click to expand... Sahihi kabisa
kipara kipya said: Tangu lini lissu akashiriki misiba?...atatoa udhuru aende zake ubelgiji waganga wake wamemwambia asikaribie maiti! Click to expand... Sahihi kabisa
Nandagala One JF-Expert Member Joined Aug 19, 2020 Posts 1,913 Reaction score 2,286 Feb 10, 2025 #84 Tindo said: Umenunua simu mpya nini boss, naona bado hujaizoea keypad yake. Au umeacha miwani ya kusomea mahali? Click to expand... ποΈππππΎ
Tindo said: Umenunua simu mpya nini boss, naona bado hujaizoea keypad yake. Au umeacha miwani ya kusomea mahali? Click to expand... ποΈππππΎ
S Shotocan JF-Expert Member Joined Nov 21, 2023 Posts 6,650 Reaction score 12,711 Feb 10, 2025 #85 kipara kipya said: Tangu lini lissu akashiriki misiba?...atatoa udhuru waganga wake wamemwambia asikaribie maiti! Click to expand... Hataenda imetolewa taarifa tayari
kipara kipya said: Tangu lini lissu akashiriki misiba?...atatoa udhuru waganga wake wamemwambia asikaribie maiti! Click to expand... Hataenda imetolewa taarifa tayari