Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuongoza Watu Wajinga ni rahisi sana, tumekuwa Taifa la kuogopa miungu Watu badala ya kumtegemea Mungu wa Mbinguni!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Una uhakika shujaa Magufuli aliamuru hicho ulichosema?!
Siku ile anapokea ripoti ya madini alisema kuwa ameidukua simu ya Lissu na amegundua kuwa alikuwa anawasiliana na Mwanyika aliyekuwa mwanasheria wa Barrick,na akamaliazia kuwa kwa askari mnajua mtu wa namna hiyo huwa anafanywa nini wakati wa vita na ni siku Lissu alipigwa risasi. Ushahidi wa kimazingira unaonyesha kuwa alitoa yeye amri ya Lissu kupigwa risasi.
 
angeweza kudhibiti, uropokaji, mihemko na matusi ya makamanda wake na yake mwenyewe, angalau angeweza kuaminika kwamba ameanza kua muhubiri sasaivi πŸ’
 
Makasiriko ya Kishoshang'ombe
 
Unajua kuwa hadi anashambuliwa Lisu alikuwa ni mtumishi wa Serikali anayepikiwa hadi kufuliwa nguo na mabeki 3 wa serikalini?
 
Kwa logic ya Lissu, Fisadi akishajiuzulu basi anafaa kupokelewa , kupigiwa kampeni ili awe rais wa nchi!.

Kwenye Ishu ya Lowasa kuwekwa na CHADEMA katika list of shame na huyuhuyu Lissu, halafu baadae kuja kumpigia kampeni ili awe rais, Lissu inabidi auombe msamaha umma au aiombe msamaha familia ya Lowasa kama alimuingiza ktk hiyo list kwa hila!
 
Kumbe ni rahisi tu?Hebu jaribu na wewe uombe kuchangiwa ununue baiskeli tu.
Mwanaume lijali hawezi kuchangiwa fedha kamwe, ni kufuru kwa muumba na fedheha, Mungu aliumba mwanadamu afanye kazi apate riziki yake ale kwa jasho, hii tabia hii, ushoga hautakwisha kwa tabia hii.
 

Wewe kweli hamnazo. Yawezekana hujitambui kuwa umgonjwa wa akili. Wenzako wanaleta hoja, wewe unaleta porojo.

Hakuna mtu hata mmoja anayeweza kuleta uthibitisho wa Lisu kupokea rushwa au kudai rushwa kutoka kwa mtu yeyote katika maisha yake.

Katika masuala ya rushwa, ufisadi na unafiki, Lisu ni mtu anayeweza kusimama mahali popote Duniani kuthibitisha kuwa ni mtu safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…