johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Na ndio anautumia Mwamba wa Maridhiano Hapo Ufipa st 😂Ujinga huu aliutumia sana Magufuli kurubudi watu ati ni shujaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio anautumia Mwamba wa Maridhiano Hapo Ufipa st 😂Ujinga huu aliutumia sana Magufuli kurubudi watu ati ni shujaa
😂😂😂🔥Hii jumatatu sijui kama itaisha salama hahahhaah naona kuna makombora kila upande, hatupoi
Mahasimu wa TAL Chamani walitake advantageMimi siamini ila nadhani muda ule John anahutubia ndiyo Lissu akaamua ajipige risasi za mapajani.Na,sijajua kwa nini hakujilenga kichwani.
Sawa.Mahasimu wa TAL Chamani walitake advantage
Ni kama yule Ebrahim wa Iran aliyefia porini 🐼
Siku ile anapokea ripoti ya madini alisema kuwa ameidukua simu ya Lissu na amegundua kuwa alikuwa anawasiliana na Mwanyika aliyekuwa mwanasheria wa Barrick,na akamaliazia kuwa kwa askari mnajua mtu wa namna hiyo huwa anafanywa nini wakati wa vita na ni siku Lissu alipigwa risasi. Ushahidi wa kimazingira unaonyesha kuwa alitoa yeye amri ya Lissu kupigwa risasi.Una uhakika shujaa Magufuli aliamuru hicho ulichosema?!
angeweza kudhibiti, uropokaji, mihemko na matusi ya makamanda wake na yake mwenyewe, angalau angeweza kuaminika kwamba ameanza kua muhubiri sasaivi 🐒Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Jukumu kubwa lililo mbele ya Watanzania wote wakati huu tunapoisaka Katiba Mpya ni Kufuta Ujinga, kwa sababu Ujinga wa Taifa unawarahisishia Watawala kutenda wapendavyo
Lisu anasema Tanzania imegeuka kuwa Taifa linaloabudu miungu Watu ambao ndio huwapangia wengine maisha yao yaweje
Akihutubia maelfu ya Wananchi kwenye Viwanja Vya Mwembeyanga Tundu Lisu amesema miaka 17 iliyopita walitangaza orodha ya Mafisadi Uwanjani Hapo wakiwemo Marais wawili na Waziri mkuu mmoja ambaye alijiuzulu baadae, lakini Ufisadi uliopo sasa unazidi mara mia ya Ule
Lisu ametoa mfano wa vifo vya Watu waliokufa Rufiji kwa Mafuriko na kuhoji ni nani aliyeruhusu bwawa lifunguliwe?
Aidha Lisu amesema kuna Wizi wa kutisha kwenye Halmashauri zetu lakini kwa sababu Taifa limemwacha Mungu wa Mbinguni na Kuabudu miungu Watu hakuna anayehoji na badala yake wanajinyenyekeza kwa Wezi Ili nao waonekane wa maana mtaani
Katika mkutano huo Wananchi wameazimia Tundu Lisu anunuliwe Gari Imara litakalomwezesha kuzunguka Nchi nzima kuwafuta Tongotongo Wananchi Ili macho yao yaweze kuona tena kama ilivyokuwa wakati wa Nyerere
Tundu Lisu amezungumza mambo mengi lakini kama mjuavyo mimi siyo Mwandishi wa Gazeti kama Lucas
Ahsanteni na Pokeeni Baraka za Mungu wa Mbinguni 😀😀
Kwako Erythrocyte pale Kajunjumele - Kyela 😂😂🔥
Makasiriko ya Kishoshang'ombeYeye ndiye mjinga wa kwanza. Kwanini alishindwa kumsapoti Dkt Magufuli kwenye makinikia, akawa anachukua hela kwa wazungu ili akwamishe zoezi. Yaani lisu ni jinga sana na mla rushwa mkubwa. Kipindi cha Dkt Magufuli ndipo ujinga wake ulijiweka bayana. Ni Dkt Slaa tu ndiye aliyesimamia haki na unyoofu. Huwezi sema leo fulani ni fisadi then kesho upo naye jukwaani au huwezi yasema makampuni ya madini then kesho unasema yanaonewa. Huyo lisu wenu muulizeni ni lini katoa kauli mauaji ya wananchi kwenye migodi huko mara?? Yaani ana viajenda vya ki NGO tu ili mabeberu waone anafanya kazi.
Unajua kuwa hadi anashambuliwa Lisu alikuwa ni mtumishi wa Serikali anayepikiwa hadi kufuliwa nguo na mabeki 3 wa serikalini?Siku ile anapokea ripoti ya madini alisema kuwa ameidukua simu ya Lissu na amegundua kuwa alikuwa anawasiliana na Mwanyika aliyekuwa mwanasheria wa Barrick,na akamaliazia kuwa kwa askari mnajua mtu wa namna hiyo huwa anafanywa nini wakati wa vita na ni siku Lissu alipigwa risasi. Ushahidi wa kimazingira unaonyesha kuwa alitoa yeye amri ya Lissu kupigwa risasi.
Kila mtu yupo alivyo.Kutaka tu mtu awe utakavyo wewe haipo hiyo.angeweza kudhibiti, uropokaji, mihemko na matusi ya makamanda wake na yake mwenyewe, angalau angeweza kuaminika kwamba ameanza kua muhubiri sasaivi 🐒
Haiondoi ukweli kuwa alipigwa risasi na serikali hiyo hiyo kwa maelekezo ya yule mwovu.Unajua kuwa hadi anashambuliwa Lisu alikuwa ni mtumishi wa Serikali anayepikiwa hadi kufuliwa nguo na mabeki 3 wa serikalini?
Risasi wanapigwa majambazi au walio nje ya mfumo ila Sidhani kama utaelewa 😀😀Haiondoi ukweli kuwa alipigwa risasi na serikali hiyo hiyo kwa maelekezo ya yule mwovu.
kwahiyo,Kila mtu yupo alivyo.Kutaka tu mtu awe utakavyo wewe haipo hiyo.
Mwanaume lijali hawezi kuchangiwa fedha kamwe, ni kufuru kwa muumba na fedheha, Mungu aliumba mwanadamu afanye kazi apate riziki yake ale kwa jasho, hii tabia hii, ushoga hautakwisha kwa tabia hii.Kumbe ni rahisi tu?Hebu jaribu na wewe uombe kuchangiwa ununue baiskeli tu.
Yeye ndiye mjinga wa kwanza. Kwanini alishindwa kumsapoti Dkt Magufuli kwenye makinikia, akawa anachukua hela kwa wazungu ili akwamishe zoezi. Yaani lisu ni jinga sana na mla rushwa mkubwa. Kipindi cha Dkt Magufuli ndipo ujinga wake ulijiweka bayana. Ni Dkt Slaa tu ndiye aliyesimamia haki na unyoofu. Huwezi sema leo fulani ni fisadi then kesho upo naye jukwaani au huwezi yasema makampuni ya madini then kesho unasema yanaonewa. Huyo lisu wenu muulizeni ni lini katoa kauli mauaji ya wananchi kwenye migodi huko mara?? Yaani ana viajenda vya ki NGO tu ili mabeberu waone anafanya kazi.
Hapo ni wewe wa kuchagua.Yeye anafanya yake tu.kwahiyo,
unataka kusema muungwana, hana haja kuhubiri watu wasiabudu miungu watu right? na yeye asihubiriwe habari za uropokaji na mihemko right?🐒
Ulimuona wakati anachukua hela za wazungu au unaendeshwa kwa emotions tu?
Lucas kahamia kwa David Kafulila anampigia debe aingizwe Serikalini hata hajui kuwa tayari Kafulila yuko Serikalini na ni mteule wa Rais.