Kingwaba Mazegenuka
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,016
- 1,707
Nini kigumu nisichoweza kuelewa kuwa Lissu alipigwa risasi na wakala wa serikali hii. Kwa mwovu kama wewe ndiye unafumbia macho ukweli huu.Risasi wanapigwa majambazi au walio nje ya mfumo ila Sidhani kama utaelewa ππ
Kwani sadaka kanisani siyo michango?Unawazungumziaje mapadre na wachungaji kuhusiana na michango?Mwanaume lijali hawezi kuchangiwa fedha kamwe, ni kufuru kwa muumba na fedheha, Mungu aliumba mwanadamu afanye kazi apate riziki yake ale kwa jasho, hii tabia hii, ushoga hautakwisha kwa tabia hii.
Lowassa alituhumiwa tu lakini baadae Tume ya Dr Mwakyembe ikaogopa kwenda kumhoji na Edward Lowassa akatangaza Kujiuzulu na kumtaja mwenye Richmond huku Dr Mwakyembe mwenyewe akiwa na Kampuni ya kufua Umeme wa Upepo SingidaKwa logic ya Lissu, Fisadi akishajiuzulu basi anafaa kupokelewa , kupigiwa kampeni ili awe rais wa nchi!.
Kwenye Ishu ya Lowasa kuwekwa na CHADEMA katika list of shame na huyuhuyu Lissu, halafu baadae kuja kumpigia kampeni ili awe rais, Lissu inabidi auombe msamaha umma au aiombe msamaha familia ya Lowasa kama alimuingiza ktk hiyo list kwa hila!
Hapana.Tumpe challenges ili atupe majibu sahihi.Huyo Mudawote, nadhani jina lake halisi yawezekana ni Mudawotemjinga.
ya kuropoka right?πHapo ni wewe wa kuchagua.Yeye anafanya yake tu.
Hii ni kweli kabisa mkuu mtoa mada. CCM ndio wametufikisha hapa tulipo kwa kutujaxa ujinga na undondocha ili waendelee kutafuna rasilimali za taifa.Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Jukumu kubwa lililo mbele ya Watanzania wote wakati huu tunapoisaka Katiba Mpya ni Kufuta Ujinga, kwa sababu Ujinga wa Taifa unawarahisishia Watawala kutenda wapendavyo
Lisu anasema Tanzania imegeuka kuwa Taifa linaloabudu miungu Watu ambao ndio huwapangia wengine maisha yao yaweje
Akihutubia maelfu ya Wananchi kwenye Viwanja Vya Mwembeyanga Tundu Lisu amesema miaka 17 iliyopita walitangaza orodha ya Mafisadi Uwanjani Hapo wakiwemo Marais wawili na Waziri mkuu mmoja ambaye alijiuzulu baadae, lakini Ufisadi uliopo sasa unazidi mara mia ya Ule
Lisu ametoa mfano wa vifo vya Watu waliokufa Rufiji kwa Mafuriko na kuhoji ni nani aliyeruhusu bwawa lifunguliwe?
Aidha Lisu amesema kuna Wizi wa kutisha kwenye Halmashauri zetu lakini kwa sababu Taifa limemwacha Mungu wa Mbinguni na Kuabudu miungu Watu hakuna anayehoji na badala yake wanajinyenyekeza kwa Wezi Ili nao waonekane wa maana mtaani
Katika mkutano huo Wananchi wameazimia Tundu Lisu anunuliwe Gari Imara litakalomwezesha kuzunguka Nchi nzima kuwafuta Tongotongo Wananchi Ili macho yao yaweze kuona tena kama ilivyokuwa wakati wa Nyerere
Tundu Lisu amezungumza mambo mengi lakini kama mjuavyo mimi siyo Mwandishi wa Gazeti kama Lucas
Ahsanteni na Pokeeni Baraka za Mungu wa Mbinguni ππ
Kwako Erythrocyte pale Kajunjumele - Kyela πππ₯
Kulopoka ni tafsiri itokayo kwa msikilizaji.Yeye akikuambia anaongea kwa madoido,utabisha?ya kuropoka right?π
Serikali ingemtaka mabeki 3 wangeshughulika nayeNini kigumu nisichoweza kuelewa kuwa Lissu alipigwa risasi na wakala wa serikali hii. Kwa mwovu kama wewe ndiye unafumbia macho ukweli huu.
Watoto wadogo wanaanzia karne ngapi hadi ngapi?Serikali ingemtaka mabeki 3 wangeshughulika naye
Ni beki 3 wa Serikali Ndiye alimuwahisha Tundu Lisu hospital na kuokoa maisha yake kama ulikuwa hujui πππ
Sema nyie watoto Wadogo mnaongeaga tu mkishakunywa hayo maenergy
na hiyo ndio response ya waskizaji , uropokaji kwa kiongozi haukubaliki πKulopoka ni tafsiri itokayo kwa msikilizaji.Yeye akikuambia anaongea kwa madoido,utabisha?
Umejimilikisha masikio ya watu wote hadi kuwa msemaji wao?Wewe baki na tafsiri zako au muombe Kinana amjibu.na hiyo ndio response ya waskizaji , uropokaji kwa kiongozi haukubaliki π
Ukifikiri mipango hiyo angeshirikishwa huyo beki 3? Yeye alifanya hivyo kwa wema wake kuokoa maisha ya mtu anayekaribia kutokwa na uhai. Reasoning yako ni ya kitoto sana kuwa kwa vile beki tatu anayelipwa na serikali alihusika kutoa msaada basi serikali haikuhusika. Wale askari FFU waliokuwa wanalinda pale nani aliwaondoa? Cctv camera zilizochukuliwa na polisi baada ya tukio leo hii ziko wapi? Usifikiri unajadili na walevi wenzako wa ulanzi hapa.Serikali ingemtaka mabeki 3 wangeshughulika naye
Ni beki 3 wa Serikali Ndiye alimuwahisha Tundu Lisu hospital na kuokoa maisha yake kama ulikuwa hujui πππ
Sema nyie watoto Wadogo mnaongeaga tu mkishakunywa hayo maenergy
Lowassa alituhumiwa tu lakini baadae Tume ya Dr Mwakyembe ikaogopa kwenda kumhoji na Edward Lowassa akatangaza Kujiuzulu na kumtaja mwenye Richmond huku Dr Mwakyembe mwenyewe akiwa na Kampuni ya kufua Umeme wa Upepo Singida
Na Lowassa hakuwahi kushtakiwa popote π
mropokaji hawezi fanya kitu wala hawezi enda mahali. hapana jidanganya πUmejimilikisha masikio ya watu wote hadi kuwa msemaji wao?Wewe baki na tafsiri zako au muombe Kinana amjibu.
Kina Pambalu aliyemkimbia Wenje πWatoto wadogo wanaanzia karne ngapi hadi ngapi?
Hebu iga huo unaouita ulopokaji tukuone.Kama haujatandikwa mijeledi hadi kamasi zikuchuruzike wakati wa jua kali.mropokaji hawezi fanya kitu wala hawezi enda mahali. hapana jidanganya π
Tatizo lako unatafuta amang'ana/gogolo na Pambalu wa jina wako.Kina Pambalu aliyemkimbia Wenje π
Unaelewa maana ya Tuhuma bwashee?Sawa, lakini ni CHADEMA ndiyo waliomuweka katika listi ya mafisadi iliyosomwa Mwembeyanga, na wakamuita fisadi kila kukicha kwa zaidi ya miaka 8 hata baada ya kujiuzulu kwake!. Waliacha kumuita fisadi alipogombea uraisi kupitia chama chao!
Mwakyembe hajawahi kumuita Lowasa fisadi!
lisu ni kichaa full stopWewe kweli hamnazo. Yawezekana hujitambui kuwa umgonjwa wa akili. Wenzako wanaleta hoja, wewe unaleta porojo.
Hakuna mtu hata mmoja anayeweza kuleta uthibitisho wa Lisu kupokea rushwa au kudai rushwa kutoka kwa mtu yeyote katika maisha yake.
Katika masuala ya rushwa, ufisadi na unafiki, Lisu ni mtu anayeweza kusimama mahali popote Duniani kuthibitisha kuwa ni mtu safi.