Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Wote tunalijua hilo ndio maana wakakuchangia gari huku wakijua wanao wanakula Bata Ulaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona umeenda mbali sana 🤣Disciplined?How?Wale wa New Zealand wanaovaa kama bomba la mpapai(wanaume pale mbele)bila nguo nao utasema ni uncultured na undisciplined?Bado sana.
Aliyekudanganya Ulaya wanakula bata ni nani? 😂😂😂Wote tunalijua hilo ndio maana wakakuchangia gari huku wakijua wanao wanakula Bata Ulaya
WajanjaMmh! Wale wanaowachangia fomu za ubunge au rais nao unaitaje?
Wakimbizi wa kisiasa 😄Aliyekudanganya Ulaya wanakula bata ni nani? 😂😂😂
Hahaha KUMEKUCHA ni yanafyatuliwa mfululizoHii jumatatu sijui kama itaisha salama hahahhaah naona kuna makombora kila upande, hatupoi
Babu wa Loliondo 😂😂😂Ukweli wajinga ni wengi sana wee funguwa kajumba ka majani andika ...ukiingia humu utapata Utajiri....hiyo foleni ni kutoka Posta mpaka Pugu...
Ulikiwa mchepukko wake ?lisu ni kichaa full stop
Na yeye ni mtanzania hivyo Ujinga unamuhusu 😂😂... huwa nipo pamoja na LISSU kwenye hoja zake nyingi lakini anapoanza kuibuka na hoja ambazo hajazitafiti au pale anapotumia ujinga wa anaowadanganya huwa ananikata 'steam'!
... hivi nani hajui kuwa mvua za mwaka huu mikoa inayojaza maji yake mto Rufiji hazikuwa za kawaida?
... kwanini na yeye, na usomi wake, atumie ujinga wa watu kupenyeza ajenda zake? ... yaani watu wanaitwa majinga na ujinga wao kutumiwa HAPOHAPO ...!
TOO MUCH! 😅
Ukute hapo hata kyupi hujavaa inapigwa na upepo tuUshahidi gani mbona wenzake kwenye NGO yao ya chama mfu wanasema hivyo, alilamba hela yeye na sugu za kuunga juhudi wakaingia mitini, sugu alijenga hotel ila baadaye akasaidiwa na balozi wa marekani kurudisha hela ya rushwa aliyochukua ccm mbowe akagoma wakaanza na bilcana, mashamba yake gazeti lake vuruga vyote na hasara aliyopata ni kubwa kuzidi hiyo hela aliyochukua, hayo ndiyo maneno ya wanachama wao wansema mwenyekiti mla rushwa hafai
HahahaBabu wa Loliondo 😂😂😂
Tuache hata kutumia simu basi.mbona umeenda mbali sana 🤣
nadhani tatizo linaanzia hapo kwa kuchota ya kule unayaleta huku, that is slavery 🐒
YA KAISARI MPATIE KAISARI NA YAMUNGU MPENI MUNGU.Kwani sadaka kanisani siyo michango?Unawazungumziaje mapadre na wachungaji kuhusiana na michango?
Ujinga ulianzia Loliondo kwa Babu😂😂Nilipoona yule Mdori mjengoni Kiwango cha Ujinga kimekufuru...
Mjinga ni wewe,hujui hata LISU alikua anaongea Nini. Kwa kifupi wewe ni poyoyoYeye ndiye mjinga wa kwanza. Kwanini alishindwa kumsapoti Dkt Magufuli kwenye makinikia, akawa anachukua hela kwa wazungu ili akwamishe zoezi. Yaani lisu ni jinga sana na mla rushwa mkubwa. Kipindi cha Dkt Magufuli ndipo ujinga wake ulijiweka bayana. Ni Dkt Slaa tu ndiye aliyesimamia haki na unyoofu. Huwezi sema leo fulani ni fisadi then kesho upo naye jukwaani au huwezi yasema makampuni ya madini then kesho unasema yanaonewa. Huyo lisu wenu muulizeni ni lini katoa kauli mauaji ya wananchi kwenye migodi huko mara?? Yaani ana viajenda vya ki NGO tu ili mabeberu waone anafanya kazi.