Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuongoza Watu Wajinga ni rahisi sana, tumekuwa Taifa la kuogopa miungu Watu badala ya kumtegemea Mungu wa Mbinguni!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wee unadhani hao wenye mawazo kama huyo uliyemjibu hapa hawajui ukweli ulivyo ueleza hapa? Wanajuwa sana; na hata Magufuli mwenyewe angekuwepo wakati huu dhamira ingekuwa inamshtaki sana.
Naamini alikufa akijutia kosa hili alilofanya kwa pupa zake tu.
 
Udhaifu wa kipekee sana aliokuwa nao Magufuli, ambao pamoja na mambo mengine yaliyokuwa kwa manufaa ya taifa hili, bado udhaifu huo mbaya kabisa unamnyima nafasi ya kuheshimika kama kiongozi.
 
Kwahiyo Nyerere hakuwa rijali alipokuwa anachangiwa kwenda UNO? Au umeishiwa na hoja, Sasa unaishia kuongea utoto?
Alichangiwa fedha za usafiri wake binafsi na familia yake au zilichangwa fedha ili aende UNO kwa niaba ya watanzania hawa ambao wapo huru kwa wakati huu.
Lissu alipaswa kuiambia ofisi impatie gari kwa shughuli za uenezi wa siasa zake matawini, hilo analochangiwa ni lake na familia yake na mke wake, Chama kingetamka tunahitaji gari kwa ajili ya makamu mwenyekiti, yaani gari mali ya chadema, ningechanga haraka sana, hilo ni la sokoni na familia yake!
 
Lisu anachangiwa na sisi tunaojua mchango wake kwa ajili ya uwezo wake wa kusukuma mabadiliko ndani ya nchi. Na sio yeye alitaka gari, Bali sisi tunaomkubali tulimwambia tumchangie hela apate gari. Chama wakataka wanaweza kumnunulia lao, lakini hili ni letu sisi wafuasi wake. Ama hela zetu zinakuuma?
 
""Nimekuelewa sasa, "Akatokea kiongozi anapendwa kubebwa, na wabebaji kwa uzuzu wao na ujinga wapo tayari kwa hili basi na wambebe"""
-Mwl JKN, 1985.
 
Ha ha ha. Wewe unajiandikia tu lolote ili tuchague la kweli na lile la uongo! Nora liende siyo! Kanyaga twende uonekane na wewe umeshiriki mdahalo.
 
Magu
Magufuli alikuwa anavunja mikataba hovyo na taifa kuingia hasara ya kulipa fidia.
Makinikia ilikuwa changa la macho ndio manaa hawakufanywa kitu wale wazungu wanaendelea mubeba nchanga
 
Mkuu yeye Lisu alikuwa anapinga, je wewe uliyekuwa hupingi tuambie binafsi ulipata shilingi ngapi za makinikia??
 
βœοΈπŸ“πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘ŠπŸ‘πŸ€πŸ™πŸ’πŸŽπŸ›‘οΈ
 
βœοΈπŸ“πŸ‘ŠπŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘πŸ€πŸ™πŸŽπŸ’πŸ›‘οΈ
 
Mwanaume lijali hawezi kuchangiwa fedha kamwe, ni kufuru kwa muumba na fedheha, Mungu aliumba mwanadamu afanye kazi apate riziki yake ale kwa jasho, hii tabia hii, ushoga hautakwisha kwa tabia hii.
Mkuu sahihisha kauli yako, sio kweli kuwa mwanaume hawezi kuchangiwa fedha. Ni wanaume wengi huchangiwa fedha wakiwa na changamoto kadhaa bila kujali itikadi za kisiasa, dini au kabila lao.
 
Mwanaume lijali hawezi kuchangiwa fedha kamwe, ni kufuru kwa muumba na fedheha, Mungu aliumba mwanadamu afanye kazi apate riziki yake ale kwa jasho, hii tabia hii, ushoga hautakwisha kwa tabia hii.
πŸ™„πŸ™„πŸ€”
 
βœοΈπŸ“πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘ŠπŸ‘πŸ€πŸ™πŸ’πŸŽπŸ›‘οΈ
 
Mwanaume lijali hawezi kuchangiwa fedha kamwe, ni kufuru kwa muumba na fedheha, Mungu aliumba mwanadamu afanye kazi apate riziki yake ale kwa jasho, hii tabia hii, ushoga hautakwisha kwa tabia hii.
Mungu huwa tunamchangia sadaka.Unamwambia nini Mungu?Think,and think deeply!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…