Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Ndugu zangu,
Huku site chuya na mchele zimeanza kujichuja kwani ni dhahiri sana Tundu Lissu anakwenda kuiangusha Chadema kwa kupoteza majimbo na kata ambazo Lowassa alishinda akiwa mgombea urais mwaka 2015 na Dr. Slaa mwaka 2010
Fundisho lililopo hapa ni kuwa kejeli,lopolopo au dhihaka na ujuaji majukwaani.Lissu ameshindwa kukonga nyoyo za wapiga kura na badala yake amejikita kulalamika huku kauli mbiu yake ikiwa "Watanzania hawataki maendeleo ya vitu (miundombinu, umeme, maji, shule, hospitali nk).
Muda umekwisha kwani Chasema kwa sasa hawawezi kufanya mabadiliko ya mgombea urais. Kwa haraka haraka majimbo yanapotea mwaka huu ni pamoja na Karatu, Moshi, Arumeru Magharibi na Mashariki, Arusha Mjini, Moshi Mjini, Vijijini, Rombo, Ukerewe, Bunda Mjini, Tarime Mjini na Vijijini, Simanjiro, Monduli, Babati nk. Ikumbukwe majimbo haya yalipatikana kutokana na umahiri wa wagombea urais wa Chadema mwaka 2010 na 2015.
Zaidi, Tundu anakwenda kulikabidhi Jimbo lake la Ikungi CCM.
Tupinge kwa hoja.