Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kupoteza majimbo na kata walizoshinda Lowassa na Slaa kwa CHADEMA

Jadili hoja,hili bandiko lipo JF kuweka kumbukumbu sawa
sawa.
but ndugu mi nashangaa.. inakuwaje sasa unakuja kuleta complaint humu JF ilihali una uhakika usiyempenda atapoteza?
si usubiri kufurahi siku atakapopoteza badala ya kujiumiza kwa stress isiyo na lazima?
 
Sasa kama kuna rushwa ndo mje na hoja za kutokomeza rushwa serikalini ili wananchi wawape ridhaa ! Hivi wananchi wa sawa muawambie serikalini kun rushwa watakuelewa?..Wakati kila kitu wanaona !
Kwani kampeni zimeanza?
 
Kama taifa imara linatakiwa kua na miundo mbinu iliyo imara kila sekita hapo unakua unalahisha watu waweze kufanya production bila kikwazo chochote, Umeme wa uhakika,barabara za uhakika hospital za uhakika,viwanja vya ndege vya uhakika, Vivuko kama meli,Madaraja ya uhakika na kadharika. Unakuta mtuzima kabisa anapinga hivyo vitu vilivyo jengwa ili kurahisisha uzarishaji. Eti mtu mzima anapinga tu ili kupotosha wengine, Hivi bila kua na miundo mbinu iliyo imara watu watawezaje kufanya kazi zao za uzarishaji? Munapo bisha tumieni akiri kidogo halafu mje na hoja za nini mtafanya ili kuwaletea maendeleo wana inchi,sio kulalamika tuuuuuuuuuu mnachosha sana.
 
Ndugu zangu,

Huku site chuya na mchele zimeanza kujichuja kwani ni dhahiri sana Tundu Lissu anakwenda kuiangusha Chadema kwa kupoteza majimbo na kata ambazo Lowassa alishinda akiwa mgombea urais mwaka 2015 na Dr. Slaa mwaka 2010

Fundisho lililopo hapa ni kuwa kejeli,lopolopo au dhihaka na ujuaji majukwaani.Lissu ameshindwa kukonga nyoyo za wapiga kura na badala yake amejikita kulalamika huku kauli mbiu yake ikiwa "Watanzania hawataki maendeleo ya vitu (miundombinu, umeme, maji, shule, hospitali nk).

Muda umekwisha kwani Chasema kwa sasa hawawezi kufanya mabadiliko ya mgombea urais. Kwa haraka haraka majimbo yanapotea mwaka huu ni pamoja na Karatu, Moshi, Arumeru Magharibi na Mashariki, Arusha Mjini, Moshi Mjini, Vijijini, Rombo, Ukerewe, Bunda Mjini, Tarime Mjini na Vijijini, Simanjiro, Monduli, Babati nk. Ikumbukwe majimbo haya yalipatikana kutokana na umahiri wa wagombea urais wa Chadema mwaka 2010 na 2015.

Zaidi, Tundu anakwenda kulikabidhi Jimbo lake la Ikungi CCM.

Tupinge kwa hoja.
Kwenye ugonjwa kujipa matumaini muhimu usisahau kifo kipo ni saaa na muda ndio fumbo
 
Kama taifa imara linatakiwa kua na miundo mbinu iliyo imara kila sekita hapo unakua unalahisha watu waweze kufanya production bila kikwazo chochote, Umeme wa uhakika,barabara za uhakika hospital za uhakika,viwanja vya ndege vya uhakika, Vivuko kama meli,Madaraja ya uhakika na kadharika. Unakuta mtuzima kabisa anapinga hivyo vitu vilivyo jengwa ili kurahisisha uzarishaji. Eti mtu mzima anapinga tu ili kupotosha wengine, Hivi bila kua na miundo mbinu iliyo imara watu watawezaje kufanya kazi zao za uzarishaji? Munapo bisha tumieni akiri kidogo halafu mje na hoja za nini mtafanya ili kuwaletea maendeleo wana inchi,sio kulalamika tuuuuuuuuuu mnachosha sana.
Kampeni bado mkuu tupo tunaandaa hoja
 
Lissu chali kabla hata mechi haijaanza. Mi pia ningeshangaa umpigie kura mtu anaekwambia ujenzi wa miundombinu, vjtuo vya afya na shule kuwa hauna maana yoyote ni kupoteza muda.. Anajichanganya sana
 
Sio kuota huo ndo ukweli!.Huwezi kupinga maendeleo ya vitu alivyofanya mwenzio! Ukategemea wananchi wakupe kura nyie cdm vipi !. Tundu wenu alete hoja za maan nini atafanya zaidi ya haya yaliyofanyika
Lisemalwo lipo, Tindu Lissu anapata muda huo mfupi kusalimiana na wananchi ni wazi anatakiwa kuwambia nia na madhumuni ya kugombea nafasi kubwa nchi hii ya Uraisi wa Jamhuri.
Hicho ndicho wapiga kura wanataka kusikia.
Tumesikia kwanini Rais Magufuli anaomba kura ili akamilishe mega projects zake.
Tumesikia Membe akihaidi Zanzibar kuwapa faraja ikiwezekana serikali Tatu.
Tumesikia yule Babu anaetaka kupeleka bahari Dodoma.
 
Ndugu zangu,

Huku site chuya na mchele zimeanza kujichuja kwani ni dhahiri sana Tundu Lissu anakwenda kuiangusha Chadema kwa kupoteza majimbo na kata ambazo Lowassa alishinda akiwa mgombea urais mwaka 2015 na Dr. Slaa mwaka 2010

Fundisho lililopo hapa ni kuwa kejeli,lopolopo au dhihaka na ujuaji majukwaani.Lissu ameshindwa kukonga nyoyo za wapiga kura na badala yake amejikita kulalamika huku kauli mbiu yake ikiwa "Watanzania hawataki maendeleo ya vitu (miundombinu, umeme, maji, shule, hospitali nk).

Muda umekwisha kwani Chasema kwa sasa hawawezi kufanya mabadiliko ya mgombea urais. Kwa haraka haraka majimbo yanapotea mwaka huu ni pamoja na Karatu, Moshi, Arumeru Magharibi na Mashariki, Arusha Mjini, Moshi Mjini, Vijijini, Rombo, Ukerewe, Bunda Mjini, Tarime Mjini na Vijijini, Simanjiro, Monduli, Babati nk. Ikumbukwe majimbo haya yalipatikana kutokana na umahiri wa wagombea urais wa Chadema mwaka 2010 na 2015.

Zaidi, Tundu anakwenda kulikabidhi Jimbo lake la Ikungi CCM.

Tupinge kwa hoja.
Nasikia kura za viti maalum umeongoza? Vipi Katibu mkoa ulimlainisha kwa mambo?
Yaani unajua kweli kuitumia fursa ya ulipewa bure toa bure!
 
Huo ni mtazamo wako na si uhalisia
 
Jikite kwenye hoja kamanda acha kuweweseka
Hoja yangu ndo hiyo kwamba, watu wa media wampe Lisu fair cavarage ili tujue pumba zake tumnyime kura! Otherwise Wewe ndo unayeweweseka na Lisu daily!
Lakini huwezi anyway, media inaelekezwa toka juu, Wewe unaweza kuja kuproduce mashudu na utopolism tu hapa, your hands are tired!
 
Jadili hoja,hili bandiko lipo JF kuweka kumbukumbu sawa
hoja yako nimeikubali ndiyo maana nimekuitikia "sawa".
kinachonishangaza ni stress zako kwa mtu ambaye una uhakika kabisa atashindwa!
 
Ndugu zangu,

Huku site chuya na mchele zimeanza kujichuja kwani ni dhahiri sana Tundu Lissu anakwenda kuiangusha Chadema kwa kupoteza majimbo na kata ambazo Lowassa alishinda akiwa mgombea urais mwaka 2015 na Dr. Slaa mwaka 2010

Fundisho lililopo hapa ni kuwa kejeli,lopolopo au dhihaka na ujuaji majukwaani.Lissu ameshindwa kukonga nyoyo za wapiga kura na badala yake amejikita kulalamika huku kauli mbiu yake ikiwa "Watanzania hawataki maendeleo ya vitu (miundombinu, umeme, maji, shule, hospitali nk).

Muda umekwisha kwani Chasema kwa sasa hawawezi kufanya mabadiliko ya mgombea urais. Kwa haraka haraka majimbo yanapotea mwaka huu ni pamoja na Karatu, Moshi, Arumeru Magharibi na Mashariki, Arusha Mjini, Moshi Mjini, Vijijini, Rombo, Ukerewe, Bunda Mjini, Tarime Mjini na Vijijini, Simanjiro, Monduli, Babati nk. Ikumbukwe majimbo haya yalipatikana kutokana na umahiri wa wagombea urais wa Chadema mwaka 2010 na 2015.

Zaidi, Tundu anakwenda kulikabidhi Jimbo lake la Ikungi CCM.

Tupinge kwa hoja.
Tuwapinge kwa hoja !!! Kwani mpo wangapi mkuu?? Yaani huu utopolo ndio uliokaa lumumba wote wale hadhi ya ndani ya ofisi hadi wale ambao picha zenu softcopy zilizopigwa bahati mbaya zimetupwa kutapakaa nje ile njia kuelekea gerezani??
 
Back
Top Bottom