Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
- Thread starter
- #61
Jielekeze kwenye hoja kamanda
Unamfahamu Juliana Shonza? Labda nijibu kwanza ili tuanze mjadala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamfahamu Juliana Shonza? Labda nijibu kwanza ili tuanze mjadala.
Sio imeteguka?Imepenya hyo
Unashangaa nini mtu kuolewa kwa mahari ya jogoo mbona mie mahari yangu nilitoa shs elfu mbili tu acha ujinga ndugu yangu ongea ya maanaKejeli lopolopo ni yule aliyesema hakuleta tetemeko.
Wananchi wa Mwanza wasibomolewe nyumba kwakua walimpigia kura.
Hata kudiriki kumuoza mama yake mzazi kwa mahari ya jogoo.
Endelea kujifurahisha kada.
Unashangaa nini mtu kuolewa kwa mahari ya jogoo mbona mie mahari yangu nilitoa shs elfu mbili tu acha ujinga ndugu yangu ongea ya maana
Unaweza kumuozesha mama yako we nguchiro?