Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kupoteza majimbo na kata walizoshinda Lowassa na Slaa kwa CHADEMA

Mtaharisha hadi utumbo mwaka huu.
 
You Pimbi, you gotta wait and see this 2020. You and your goons ain't believe it
 
sawa.
but ndugu mi nashangaa.. inakuwaje sasa unakuja kuleta complaint humu JF ilihali una uhakika usiyempenda atapoteza?
si usubiri kufurahi siku atakapopoteza badala ya kujiumiza kwa stress isiyo na lazima?
 
Kejeli lopolopo ni yule aliyesema hakuleta tetemeko.
Wananchi wa Mwanza wasibomolewe nyumba kwakua walimpigia kura.
Hata kudiriki kumuoza mama yake mzazi kwa mahari ya jogoo.

Endelea kujifurahisha kada.
Kunywa maji sista............au kamsaidie Mbowe bapa msake kiki tena
 
Nani sasa anayepinga ufisadi? Awamu hii ndio iliyotuletea biashara mpya ya ukitukana unapewa rushwa na uteuzi Ni awamu hii iliyotuletea rushwa kupitia manunuzi ya watu waunge juhudi. Ni awamu hii mchakato wa watia nia umegubikwa na rushwa ya kutisha..bado unalo jingine?
 
Vya kutafuta na tochi aya sawa tutawachagua mmenunua ndege na mmejenga daraja la kufanyia shooting video za Diamond
Ndugu unajua vimejengwa vituo vya Afya vingapi nchini , huduma za maji? sasa hivi mgombea wenu kila Kona akipita ni mkeka tu !. Mbona mmekomaa na ndege kana kwamba sekta nyingine hakufanyika kitu? ..
 
Ndugu unajua vimejengwa vituo vya Afya vingapi nchini , huduma za maji? sasa hivi mgombea wenu kila Kona akipita ni mkeka tu !. Mbona mmekomaa na ndege kana kwamba sekta nyingine hakufanyika kitu? ..
Wewe umefanya unaumia na nini?
 
Kejeli lopolopo ni yule aliyesema hakuleta tetemeko.
Wananchi wa Mwanza wasibomolewe nyumba kwakua walimpigia kura.
Hata kudiriki kumuoza mama yake mzazi kwa mahari ya jogoo.

Endelea kujifurahisha kada.
Kama ni hizo hoja ndo mtatembea nazo hamtashinda kabisa hata diwani
 
Sasa kama kuna rushwa ndo mje na hoja za kutokomeza rushwa serikalini ili wananchi wawape ridhaa ! Hivi wananchi wa sawa muawambie serikalini kun rushwa watakuelewa?..Wakati kila kitu wanaona !
 
Kwa mawazo yako ni mtu gani chadema angeweza kufanya hayo majimbo yakaendelea kuwa ya chadema?
 
Jenga hoja kamanda
Kejeli lopolopo ni yule aliyesema hakuleta tetemeko.
Wananchi wa Mwanza wasibomolewe nyumba kwakua walimpigia kura.
Hata kudiriki kumuoza mama yake mzazi kwa mahari ya jogoo.

Endelea kujifurahisha kada.
 
Jikite kwenye hoja kamanda acha kuweweseka
Jina kubwa sana Wewe, Sema sasa akili ndo inapimwa hapa! Ningekua Wewe ningepigania Habari! Vyombo vyote vitangaze kila kitu, Lisu aachwe aongee sana hadi wote tujue hizo chuya, au pumba nk. Vinginevyo hii ni propaganda uchwara tu!
 
Kejeli lopolopo ni yule aliyesema hakuleta tetemeko.
Wananchi wa Mwanza wasibomolewe nyumba kwakua walimpigia kura.
Hata kudiriki kumuoza mama yake mzazi kwa mahari ya jogoo.

Endelea kujifurahisha kada.
Una utani wa ngumi[emoji1787] mahari ya jogoo..!! Kweli?
 
Ningekuwa ni mshauri wa Lissu, ningemshauri arudi nchini angalu miezi sita kabla ya mchakato. Alifanya makosa ya yeye kuja nchini kugombea tu; kwani alikataa hata kuja kujibu kesi alizokuwa nazo mahakamani. Kuna marungu atakayotupiwa kutokana na uamuzi huo tu, japo kuwa hayatakuwa marungu ya kisiasa. Halafu sasa huko nje ya nchi ana mtu anaitwa Robert Amsterdam ambaye eti ndiye msemaji wake wa mambo ya sheria, yaani jambo la ajabu kweli. Sijui mtu huyu ana akili gani. Kutokujua nchi iko wapi leo, amekuja na kelele sana dhidi ya Magufuli. Angekuja mapema aakaangalia nchi iko wapi, akatathmini ni wapi kuna mapungufu angeweza kuwa anazungumzia mapungufu hayo tu kuliko kupinga kila kitu. Mimi nikitathmini nchi ninajua kuna mapungufu ambayo yanaweza kutumika kujenga manifesto nzuri ya uchaguzi dhidi ya CCM. Lakini siyo hayo Lissu anayoongea; utadhani amepiga breakfast ya kimpumu kabla ya kupanda jukwaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…