Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
- Thread starter
-
- #41
sawa.
but ndugu mi nashangaa.. inakuwaje sasa unakuja kuleta complaint humu JF ilihali una uhakika usiyempenda atapoteza?
si usubiri kufurahi siku atakapopoteza badala ya kujiumiza kwa stress isiyo na lazima?
Kwani kampeni zimeanza?Sasa kama kuna rushwa ndo mje na hoja za kutokomeza rushwa serikalini ili wananchi wawape ridhaa ! Hivi wananchi wa sawa muawambie serikalini kun rushwa watakuelewa?..Wakati kila kitu wanaona !
Ndugu hoja za cdm zinajulikan humu ! So hata kampeni zikianza , nothing will change!.Kwani kampeni zimeanza?
Kunywa maji sista............au kamsaidie Mbowe bapa msake kiki tena
Kwenye ugonjwa kujipa matumaini muhimu usisahau kifo kipo ni saaa na muda ndio fumboNdugu zangu,
Huku site chuya na mchele zimeanza kujichuja kwani ni dhahiri sana Tundu Lissu anakwenda kuiangusha Chadema kwa kupoteza majimbo na kata ambazo Lowassa alishinda akiwa mgombea urais mwaka 2015 na Dr. Slaa mwaka 2010
Fundisho lililopo hapa ni kuwa kejeli,lopolopo au dhihaka na ujuaji majukwaani.Lissu ameshindwa kukonga nyoyo za wapiga kura na badala yake amejikita kulalamika huku kauli mbiu yake ikiwa "Watanzania hawataki maendeleo ya vitu (miundombinu, umeme, maji, shule, hospitali nk).
Muda umekwisha kwani Chasema kwa sasa hawawezi kufanya mabadiliko ya mgombea urais. Kwa haraka haraka majimbo yanapotea mwaka huu ni pamoja na Karatu, Moshi, Arumeru Magharibi na Mashariki, Arusha Mjini, Moshi Mjini, Vijijini, Rombo, Ukerewe, Bunda Mjini, Tarime Mjini na Vijijini, Simanjiro, Monduli, Babati nk. Ikumbukwe majimbo haya yalipatikana kutokana na umahiri wa wagombea urais wa Chadema mwaka 2010 na 2015.
Zaidi, Tundu anakwenda kulikabidhi Jimbo lake la Ikungi CCM.
Tupinge kwa hoja.
Kampeni bado mkuu tupo tunaandaa hojaKama taifa imara linatakiwa kua na miundo mbinu iliyo imara kila sekita hapo unakua unalahisha watu waweze kufanya production bila kikwazo chochote, Umeme wa uhakika,barabara za uhakika hospital za uhakika,viwanja vya ndege vya uhakika, Vivuko kama meli,Madaraja ya uhakika na kadharika. Unakuta mtuzima kabisa anapinga hivyo vitu vilivyo jengwa ili kurahisisha uzarishaji. Eti mtu mzima anapinga tu ili kupotosha wengine, Hivi bila kua na miundo mbinu iliyo imara watu watawezaje kufanya kazi zao za uzarishaji? Munapo bisha tumieni akiri kidogo halafu mje na hoja za nini mtafanya ili kuwaletea maendeleo wana inchi,sio kulalamika tuuuuuuuuuu mnachosha sana.
Kama wewe ambae hujachange kilakitu mwilini mwakoNdugu hoja za cdm zinajulikan humu ! So hata kampeni zikianza , nothing will change!.
shangazi punguza sauti kidogoHata kudiriki kumuoza mama yake mzazi kwa mahari ya jogoo.
[emoji1787][emoji1787]ngoja nikupuuze tu!Kama wewe ambae hujachange kilakitu mwilini mwako
Lisemalwo lipo, Tindu Lissu anapata muda huo mfupi kusalimiana na wananchi ni wazi anatakiwa kuwambia nia na madhumuni ya kugombea nafasi kubwa nchi hii ya Uraisi wa Jamhuri.Sio kuota huo ndo ukweli!.Huwezi kupinga maendeleo ya vitu alivyofanya mwenzio! Ukategemea wananchi wakupe kura nyie cdm vipi !. Tundu wenu alete hoja za maan nini atafanya zaidi ya haya yaliyofanyika
Nasikia kura za viti maalum umeongoza? Vipi Katibu mkoa ulimlainisha kwa mambo?Ndugu zangu,
Huku site chuya na mchele zimeanza kujichuja kwani ni dhahiri sana Tundu Lissu anakwenda kuiangusha Chadema kwa kupoteza majimbo na kata ambazo Lowassa alishinda akiwa mgombea urais mwaka 2015 na Dr. Slaa mwaka 2010
Fundisho lililopo hapa ni kuwa kejeli,lopolopo au dhihaka na ujuaji majukwaani.Lissu ameshindwa kukonga nyoyo za wapiga kura na badala yake amejikita kulalamika huku kauli mbiu yake ikiwa "Watanzania hawataki maendeleo ya vitu (miundombinu, umeme, maji, shule, hospitali nk).
Muda umekwisha kwani Chasema kwa sasa hawawezi kufanya mabadiliko ya mgombea urais. Kwa haraka haraka majimbo yanapotea mwaka huu ni pamoja na Karatu, Moshi, Arumeru Magharibi na Mashariki, Arusha Mjini, Moshi Mjini, Vijijini, Rombo, Ukerewe, Bunda Mjini, Tarime Mjini na Vijijini, Simanjiro, Monduli, Babati nk. Ikumbukwe majimbo haya yalipatikana kutokana na umahiri wa wagombea urais wa Chadema mwaka 2010 na 2015.
Zaidi, Tundu anakwenda kulikabidhi Jimbo lake la Ikungi CCM.
Tupinge kwa hoja.
Huo ni mtazamo wako na si uhalisiaNdugu zangu,

Hoja yangu ndo hiyo kwamba, watu wa media wampe Lisu fair cavarage ili tujue pumba zake tumnyime kura! Otherwise Wewe ndo unayeweweseka na Lisu daily!Jikite kwenye hoja kamanda acha kuweweseka
hoja yako nimeikubali ndiyo maana nimekuitikia "sawa".Jadili hoja,hili bandiko lipo JF kuweka kumbukumbu sawa
Tuwapinge kwa hoja !!! Kwani mpo wangapi mkuu?? Yaani huu utopolo ndio uliokaa lumumba wote wale hadhi ya ndani ya ofisi hadi wale ambao picha zenu softcopy zilizopigwa bahati mbaya zimetupwa kutapakaa nje ile njia kuelekea gerezani??Ndugu zangu,
Huku site chuya na mchele zimeanza kujichuja kwani ni dhahiri sana Tundu Lissu anakwenda kuiangusha Chadema kwa kupoteza majimbo na kata ambazo Lowassa alishinda akiwa mgombea urais mwaka 2015 na Dr. Slaa mwaka 2010
Fundisho lililopo hapa ni kuwa kejeli,lopolopo au dhihaka na ujuaji majukwaani.Lissu ameshindwa kukonga nyoyo za wapiga kura na badala yake amejikita kulalamika huku kauli mbiu yake ikiwa "Watanzania hawataki maendeleo ya vitu (miundombinu, umeme, maji, shule, hospitali nk).
Muda umekwisha kwani Chasema kwa sasa hawawezi kufanya mabadiliko ya mgombea urais. Kwa haraka haraka majimbo yanapotea mwaka huu ni pamoja na Karatu, Moshi, Arumeru Magharibi na Mashariki, Arusha Mjini, Moshi Mjini, Vijijini, Rombo, Ukerewe, Bunda Mjini, Tarime Mjini na Vijijini, Simanjiro, Monduli, Babati nk. Ikumbukwe majimbo haya yalipatikana kutokana na umahiri wa wagombea urais wa Chadema mwaka 2010 na 2015.
Zaidi, Tundu anakwenda kulikabidhi Jimbo lake la Ikungi CCM.
Tupinge kwa hoja.
Kwenye ugonjwa kujipa matumaini muhimu usisahau kifo kipo ni saaa na muda ndio fumbo
Nasikia kura za viti maalum umeongoza? Vipi Katibu mkoa ulimlainisha kwa mambo?
Yaani unajua kweli kuitumia fursa ya ulipewa bure toa bure!
Unamfahamu Juliana Shonza? Labda nijibu kwanza ili tuanze mjadala.Jikite kwenye hoja kamanda acha kuweweseka