Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #61
Wanajifanya hawajui kumbe wanajua sana. Saivi kila mtanzania kageuka ombaomba. Yaani inatia aibu na hasira kwa kweli. Watu wanasimamisha msafara wanaomba maji kwenye Karne hii ya 21 ambapo kuna watu wanafanya project za kwenda mwezini na kwenye sayari nyingine huko kuanzisha maisha!!!Huo ni ushabiki lakini ukweli ni kwamba huo mfumo haufai kabisa ndiyo sababu ya ufisadi na umasikini wa watanzania
Ni kweli kabisa!! Hakuna matajiri nchi hii kama Maraisi wastaafu, makamu zao, mawaziri wakuu na mawaziri wastaafu! Na sababu kuu ni kuwa tumepata nafasi ya kuchezea pesa zetu wanavyotaka!Hii issue ya serikali ya majimbo ni nzuri kwasababu kwanza itarahisisha maendeleo kuwafikia wananchi kwa haraka, lakini pia itapunguza mianya ya upigaji kama inavyoonekana sasa hivi ambapo marais na mawaziri wakuu ndio matajiri wa nchi hii, huku wakiwa wameshajihakikishia usalama wao kwa kuzuia wasishtakiwe.
Lissu anastahili kura kutoka kwa kila mwenye huruma na nchi yetu, keki ya taifa sasa hivi inaliwa na kikundi kidogo sana cha watu huku wengi wakiteseka wasijue hata mlo wao mmoja wa siku wataupata wapi, CCM must go.
Asante ndugu. Kila mwenye mapenzi mema na nchi hii ahakikishe anantafutia kura Lissu nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa na kuwaelimisha watanzania wafanye maamuzi sahihi kwa kuelewa thamani yaoKura yangu haijawahi kwenda chooni hata Mara moja hivyo nitaegdeleza itikadi yangu kuchagua CDM ndugu zangu kukata tamaa Ni dhambi tujitokezeni kwa wingi kupiga kura ili tulikomboe taifa katika mikono ya kifisadi
Ni km huwezi kuelewa..... You are researching the obvious..... Rafu zote huzioni miaka mitano.... Chaguzi za marudio, uchaguzi serijali za mitaa, engua engua, nec na wakurugenzi.......Mkuu huyu mnae sema mshamba na limbukeni mbona ndie anaye tumaliza, Kwa hiyo ushamba ni faida.
Tulikuwa na mtoto wa mjini 2005-- 2015 chama kilipanda charti wabunge na kura za Urais ziliongezeka sana. Lazima tujiulize tunakosea wapi? Au kama kawa tujilazimishe kuto liona hilo?
Daah tatizo lenu hoja zenu ni za kufikirika na za kwenye makaratasi hazina uhalisia.
Ona unavyotaka kudanganya watu hapa kuwa kuku wanaweza endesha maendeleo ya mkoa.
Tusaidie tu contribution kwa sasa kwa mkoa wa singida kwa pato la Taifa.
Mjiandae kulipa fidia mikoa ambayo kwa muda mrefu toka uhuru mchango wake katika pato la Taifa umetumika kuendeleza kwingine.
The fear of the unknown. Daring to do things you have never done is the key. I really respect your opinions , however, I can see how much you suffer from the old school of thoughts.( Using nationalism as a means not to streamline our old systems of governance for our betterment.Itoshe kusema tu kuwa hiyo sera ni mbovu itabomoa umoja wa kitaifa tuliokuwa nao tangia tunapata uhuru, itazua taharuri na migongano baina ya jamii zetu bila ulazima wowote.
Tafuteni jambo jingine la kudanganya watu ila sio hili.
DefinitelyThe fear of the unknown. Daring to do things you have never done is the key. I really respect your opinions , however I can see how much you suffer from the old school of thoughts.( Using nationalism as a means not to streamline our oldsystems of government for our betterment.