Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #61
Wanajifanya hawajui kumbe wanajua sana. Saivi kila mtanzania kageuka ombaomba. Yaani inatia aibu na hasira kwa kweli. Watu wanasimamisha msafara wanaomba maji kwenye Karne hii ya 21 ambapo kuna watu wanafanya project za kwenda mwezini na kwenye sayari nyingine huko kuanzisha maisha!!!Huo ni ushabiki lakini ukweli ni kwamba huo mfumo haufai kabisa ndiyo sababu ya ufisadi na umasikini wa watanzania
CCM wametufubaza sana watanzania