Sawa Idugunde msemaji wa hiari wa Mwamba Lisu,ila iwe ni kutoka moyoni mwako na SII iwe ni una tuπ€Chadema kaeni mkao wa kula maana sasa mpambano kwa ajili ya katiba mpya na mikutano ya hadhara umeiva.
Lissu sio wa mchezo linapokuja suala la haki za wananchi
πLissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini
Tunamkaribisha sana na kumsubiri kwa kinachopaswa kudaiwa ni like tuu ambacho ni haki. Kwa vile Tanzania inayo katiba, kinachotakiwa kufanywa sio kudai katiba mpya bali Ku lobby tufanye mabadiliko ya Katiba na ikiwezekana kupata katiba mpya kwa kutumia lobbying and advocacy.Chadema kaeni mkao wa kula maana sasa mpambano kwa ajili ya katiba mpya na mikutano ya hadhara umeiva.
Lissu sio wa mchezo linapokuja suala la haki za wananchi
πLissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini
Tunamkaribisha sana na kumsubiri kwa hamu.
Yeye aje maana hapa ndipo nyumbani kwao.Chadema kaeni mkao wa kula maana sasa mpambano kwa ajili ya katiba mpya na mikutano ya hadhara umeiva.
Lissu sio wa mchezo linapokuja suala la haki za wananchi
[emoji116]Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini