Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Haka kamsemo nakapenda sana, but the beast is around the corner, bring it on!.Mwanakilitafuta mwanakulipata,safari hii sio Ununio ni Daraja la mkapa.
Acheni looting hapo Minnesota.Anajihangaisha tu huyo!
Hivi yuko wapi siku hizi?
Ulitaka niseme yuko na wanawake mwanaume huishi na wanaume au umeelewaje?Alafu nyie ndio mnalalamika mwenyekiti wenu anatukanwa mitandaoni!!!
Akili za Mbowe za kibiashara ndizo zinaisumbua CCM na serikali yake, hawali.. hawalali, anzia bungeni mpaka serikalini mfanyabiashara anawavuruga!.Huyu ndo angekuwa Mwenyekiti wa CDM. Jamaa ni kichwa na ana guts haswa, Lissu amekaa kiupambanaji haswa, sio kama mfanyabiashara Mbowe.
Kete ya Lowassa mpaka leo haijafutika akilini. Lissu ndo mtu pekee tumwaminiye ndani ya Chama.
Mbowe na Lissu wanamsababishia bwana yule maumivu makaliAkili za Mbowe za kibiashara ndizo zinaisumbua CCM na serikali yake, hawali.. hawalali, anzia bungeni mpaka serikalini mfanyabiashara anawavuruga!.
Nina imani hiyo ni haki yakekupitia twitter,kada wa CHADEMA,Vitusi Nkuna leo ameandika kuwa Lissu katangaza nia ya kugombea uraisi kupitia CHADEMA.
Kama haitoshi,Mayor wa Ubungo, Boniface Jacob muda wa kama lisaa limoja lililopita, kaandika kupitia twitter maneno haya hapo chini huku akiambatanisha tweet yake na picha hii:
Welcome back home, The Game Changer.!
View attachment 1465097
Kwa maelezo haya ya leo ya hawa viongozi na makada wa CHADEMA kupitia twitter,je,maelezo haya si kuashiria Lissu anarudi nchini na atagombea uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA?
Na kwakuwa hatuna Tume Huru ya Uchaguzi,Lissu atakuwa anagombea tu pasipokuwa amejipanga?
Wacha tusubiri muda uje uthibitishe.
Kama Kamanda anarejea itakuwa poa na atakuwa ni shujaa kuliko Nelson Mandelakupitia twitter,kada wa CHADEMA,Vitusi Nkuna leo ameandika kuwa Lissu katangaza nia ya kugombea uraisi kupitia CHADEMA.
Kama haitoshi,Mayor wa Ubungo, Boniface Jacob muda wa kama lisaa limoja lililopita, kaandika kupitia twitter maneno haya hapo chini huku akiambatanisha tweet yake na picha hii:
Welcome back home, The Game Changer.!
View attachment 1465097
Kwa maelezo haya ya leo ya hawa viongozi na makada wa CHADEMA kupitia twitter,je,maelezo haya si kuashiria Lissu anarudi nchini na atagombea uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA?
Na kwakuwa hatuna Tume Huru ya Uchaguzi,Lissu atakuwa anagombea tu pasipokuwa amejipanga?
Wacha tusubiri muda uje uthibitishe.
Paskali bado hujapewa uteuzi wowote tu? Sikuwepo hapa JF kwa muda mrefu kidogo.Kama Kamanda anarejea itakuwa poa na atakuwa ni shujaa kuliko Nelson Mandela
Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!
Pia tulishauri hivi
Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!
P