Tundu Lissu kurejea nchini kwa lengo la kuja kugombea urais?

Tundu Lissu kurejea nchini kwa lengo la kuja kugombea urais?

Kabla ya kurudi,yeye na dereva wake warudishe zile hati za kusafiria za kibelgiji walizopewa pale Nairobi na kuutangazia ulimwengu Tanzania ni nchi salama na yenye amani.
Tanzania ingekuwa mahala salama leo hii tungekuwa na akina Ben Saanane, Azory Gwanda na wengineo. Lakini utawala huu wa kidhalimu umewachinjilia mbali bila huruma.
 
Strategy....plan....organisation = victory.

Wao wakitumia nguvu; wewe tumia akili, Hakuna Kususa.

Chadema must do something, waiweke ile Tume under pressure, don't let them leave for free like that.
There are two pressure points that CCM cannot withstand as far as the next elections are concerned

1. A large turnout of voters - CHADEMA must work overtime to convince those who want to stay home and not vote. For not voting that is a direct vote for CCM

2. CHADEMA and their compatriots in opposition must mobilize and educate their core members and supporters not allow going into an election where everything points to an unfair election. They have enough members to stop any election until the conditions for a fair election are in place. Otherwise, they should not allow an election take place..., this is different from "kususa".
 
Inawezekana karejea kimyakimya...kiukweli atachangamsha sana kwenye uchaguzi, japo ataibiwa tu
 
Akili za Mbowe za kibiashara ndizo zinaisumbua CCM na serikali yake, hawali.. hawalali, anzia bungeni mpaka serikalini mfanyabiashara anawavuruga!.
Tafakari kwa mapana
 
kupitia twitter,kada wa CHADEMA,Vitusi Nkuna leo ameandika kuwa Lissu katangaza nia ya kugombea uraisi kupitia CHADEMA.

Kama haitoshi,Mayor wa Ubungo, Boniface Jacob muda wa kama lisaa limoja lililopita, kaandika kupitia twitter maneno haya hapo chini huku akiambatanisha tweet yake na picha hii:



Welcome back home, The Game Changer.!
View attachment 1465097

Kwa maelezo haya ya leo ya hawa viongozi na makada wa CHADEMA kupitia twitter,je,maelezo haya si kuashiria Lissu anarudi nchini na atagombea uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA?

Na kwakuwa hatuna Tume Huru ya Uchaguzi,Lissu atakuwa anagombea tu pasipokuwa amejipanga?

Wacha tusubiri muda uje uthibitishe.
Lissu na mimi nipo hapa Tiburg uholanzi si mbali na ulipo njoo nitachangia , nipo tayari kuchangia elfu mbili euro
 
Bwana yule ameshaandaa TLP, CUF, NCCR na vyama vya upinzani uchwara vimpitishe kuwa mgombea. Aiwekee mizengwe Chadema ili apite bila kupingwa.
[/QUOT
Umenifungua akili aiseeee,kumbe ndio mipango yao!
 
Kila siku Sheria mpya na vingiti vipya vinasukwa na kuna watu wapo bize kula posho na kufyatua huo uhaini wakidhani wapo salama woote wamelishwa uwoga kwamba Lissu akigombea ni Hatar kwao na vizazi vyao wanaitikia kama mazuzu utadhani woote walishiriki jaribio la mauaji.
 
Uhalisia ni kwamba Lissu atagombea na kama kuna ambao wakilisikia jina Lissu wanahisi kuumwa WAJICHIMBIE MAPEMAAA maana hatuzungumzii mafuriko bali Gharika
 
Muosha huoshwa, jamaa yako Job nasikia alikataliwa mbele ya kaka yako mchana kweupeee! Na sasa kesho kutwa kaitwa naye Mahakama kuu Dar kama alivyo kuita Dodoma.
Sasa wewe alisema usipoenda kwa hiari utaenda kwa pingu, sisi Leo tunasema akidharau Mahakama tutaitaka imfunge kama civil prisoner na tutalipia gharama ya kumuweka Ukonga.
Dunia inakwenda kasi sana
 
Lissu na mimi nipo hapa Tiburg uholanzi si mbali na ulipo njoo nitachangia , nipo tayari kuchangia elfu mbili euro
Akifika atakutana na Glyover, vingine ataona tu. Na atawasimulia Watwetwezi wa Haki za Wazungu kuwa Raisi JPM kwenye Kampeni atakuwa akijinadi nimefanya hiki na naenda kumalizia hiki.
Tundu Lissu sera yake itakuwa aisee Tanzania niimeigaragaza kwenye vyombo vya habari vya Kimataifa.
 
Ngoja kwanza vipi amesha hakikishiwa usalama wake anapo taka kurejea nchini
 
Karibu nyumbani kumenoga

Bora angegombea ubunge angepata ila uraisi ni ndoto za mchana labda kupitia twitter ndo atashinda,
Ukosawa mkuu! Maana ubunge atapambana huko kwao!
Lisu kanda yaziwa lazima apondwe mawe! Atakufa kifo cha kibaka wamitaani! Atakufa kwa mawe.
 
Ukosawa mkuu! Maana ubunge atapambana huko kwao!
Lisu kanda yaziwa lazima apondwe mawe! Atakufa kifo cha kibaka wamitaani! Atakufa kwa mawe.
Umeumia sana kusikia jamaa aja na hajawahi kushindwa tangu azaliwe!
 
Kura yangu ipo hata mvua ipige siku nzima nitaenda kumpigia kura na kuilinda pia.
 
Kabla ya kurudi,yeye na dereva wake warudishe zile hati za kusafiria za kibelgiji walizopewa pale Nairobi na kuutangazia ulimwengu Tanzania ni nchi salama na yenye amani.
Kumbe ana uraia pacha!

Ndiyo maana ya ujeuri wake katika kutusaliti watanzania.
"Ati anasema Tanzania ifungiwe kiuchumi, kidiplomasia, kisiasa na eti Dunia itutemee mate...! " Atubu dhambi hii kwanza kabla ya kuwaza mengine.
 
Back
Top Bottom