Tanzania ingekuwa mahala salama leo hii tungekuwa na akina Ben Saanane, Azory Gwanda na wengineo. Lakini utawala huu wa kidhalimu umewachinjilia mbali bila huruma.Kabla ya kurudi,yeye na dereva wake warudishe zile hati za kusafiria za kibelgiji walizopewa pale Nairobi na kuutangazia ulimwengu Tanzania ni nchi salama na yenye amani.
There are two pressure points that CCM cannot withstand as far as the next elections are concernedStrategy....plan....organisation = victory.
Wao wakitumia nguvu; wewe tumia akili, Hakuna Kususa.
Chadema must do something, waiweke ile Tume under pressure, don't let them leave for free like that.
Tafakari kwa mapanaAkili za Mbowe za kibiashara ndizo zinaisumbua CCM na serikali yake, hawali.. hawalali, anzia bungeni mpaka serikalini mfanyabiashara anawavuruga!.
Lissu na mimi nipo hapa Tiburg uholanzi si mbali na ulipo njoo nitachangia , nipo tayari kuchangia elfu mbili eurokupitia twitter,kada wa CHADEMA,Vitusi Nkuna leo ameandika kuwa Lissu katangaza nia ya kugombea uraisi kupitia CHADEMA.
Kama haitoshi,Mayor wa Ubungo, Boniface Jacob muda wa kama lisaa limoja lililopita, kaandika kupitia twitter maneno haya hapo chini huku akiambatanisha tweet yake na picha hii:
Welcome back home, The Game Changer.!
View attachment 1465097
Kwa maelezo haya ya leo ya hawa viongozi na makada wa CHADEMA kupitia twitter,je,maelezo haya si kuashiria Lissu anarudi nchini na atagombea uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA?
Na kwakuwa hatuna Tume Huru ya Uchaguzi,Lissu atakuwa anagombea tu pasipokuwa amejipanga?
Wacha tusubiri muda uje uthibitishe.
Bwana yule ameshaandaa TLP, CUF, NCCR na vyama vya upinzani uchwara vimpitishe kuwa mgombea. Aiwekee mizengwe Chadema ili apite bila kupingwa.
[/QUOT
Umenifungua akili aiseeee,kumbe ndio mipango yao!
Kumbe ndiyo mipango yao hiyoBwana yule ameshaandaa TLP, CUF, NCCR na vyama vya upinzani uchwara vimpitishe kuwa mgombea. Aiwekee mizengwe Chadema ili apite bila kupingwa.
Muosha huoshwa, jamaa yako Job nasikia alikataliwa mbele ya kaka yako mchana kweupeee! Na sasa kesho kutwa kaitwa naye Mahakama kuu Dar kama alivyo kuita Dodoma.Kama Kamanda anarejea itakuwa poa na atakuwa ni shujaa kuliko Nelson Mandela
Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!
Pia tulishauri hivi
Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!
P
Akifika atakutana na Glyover, vingine ataona tu. Na atawasimulia Watwetwezi wa Haki za Wazungu kuwa Raisi JPM kwenye Kampeni atakuwa akijinadi nimefanya hiki na naenda kumalizia hiki.Lissu na mimi nipo hapa Tiburg uholanzi si mbali na ulipo njoo nitachangia , nipo tayari kuchangia elfu mbili euro
Ukosawa mkuu! Maana ubunge atapambana huko kwao!Karibu nyumbani kumenoga
Bora angegombea ubunge angepata ila uraisi ni ndoto za mchana labda kupitia twitter ndo atashinda,
Umeumia sana kusikia jamaa aja na hajawahi kushindwa tangu azaliwe!Ukosawa mkuu! Maana ubunge atapambana huko kwao!
Lisu kanda yaziwa lazima apondwe mawe! Atakufa kifo cha kibaka wamitaani! Atakufa kwa mawe.
Ukosawa mkuu! Maana ubunge atapambana huko kwao!
Lisu kanda yaziwa lazima apondwe mawe! Atakufa kifo cha kibaka wamitaani! Atakufa kwa mawe.
Kumbe ana uraia pacha!Kabla ya kurudi,yeye na dereva wake warudishe zile hati za kusafiria za kibelgiji walizopewa pale Nairobi na kuutangazia ulimwengu Tanzania ni nchi salama na yenye amani.
Watu wa nje hawaaaeeAcheni looting hapo Minnesota.
Ule uleeeeMvinyo ule ule lakini umewekwa kwenye Chupa ya Plastic.