Tundu Lissu kurudishwa uraiani siku moja kabla ya Yanga kutangaza kuwa watacheza derby

KUKULU- KAKALA

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
312
Reaction score
1,299
Wakuu heshima Yenu! Mwezi uliopita niliandika thread yenye mambo Saba ambayo yatatokea kabla ya UCHAGUZI MKUU.

Jambo mojawapo ni kwamba TUNDU LISSU atatolewa kabla ya mwezi wa sita na Kundi la G-55 kuhama chama.

Leo hatimaye G-55 wameanza kuhama Chama na anayesubiriwa ni main character wao FREEMAN MBOWE Kwenda kugombea Urais CHAUMMA na wataunda coalition na ACT-WAZALENDO NA NCCR MAGEUZI.

Hili la coalition ntawaletea taarifa Rasmi na uthibitisho kati ya FAM NA ZZK. Ndiyo maana ZZK ameamua Kurudi Jimboni Kugombea.

Achana na hayo. Hili la klabu ya Yanga kutokucheza DERBY ni propaganda tu Ambazo zinaratibiwa kimfumo. Derby YANGA watacheza na wataipa jina DERBY YA MAMA na watatangaza kucheza derby SIKU kadhaa kabla ya Tundu Lissu kuachiwa Ili kuzima upepo wa Lissu.
 
NA MANARA JE MAANA TUTASIKIA NDOA AU DIAMOND KAOA ZUCHU CCM NDIO WAZAZI WA HARUSI
 
Wakuu heshima Yenu! Mwezi uliopita niliandika thread yenye mambo Saba ambayo yatatokea kabla ya UCHAGUZI MKUU.

Jambo mojawapo ni kwamba TUNDU LISSU atatolewa kabla ya mwezi wa sita na Kundi la G-55 kuhama chama.

Leo hatimaye G-55 wameanza kuhama Chama na anayesubiriwa ni main character wao FREEMAN MBOWE Kwenda kugombea Urais CHAUMMA na wataunda coalition na ACT-WAZALENDO NA NCCR MAGEUZI.

Hili la coalition ntawaletea taarifa Rasmi na uthibitisho kati ya FAM NA ZZK. Ndiyo maana ZZK ameamua Kurudi Jimboni Kugombea.

Achana na hayo. Hili la klabu ya Yanga kutokucheza DERBY ni propaganda tu Ambazo zinaratibiwa kimfumo. Derby YANGA watacheza na wataipa jina DERBY YA MAMA na watatangaza kucheza derby SIKU kadhaa kabla ya Tundu Lissu kuachiwa Ili kuzima upepo wa Lissu.
TAL hazimiwi upepo

upepo wa TAL unavuma hadi bara la Ulaya na America
 
Nimewaza hivo hivo yanga watacheza hizo propaganda n kuzima tu mambo ya lissu. Mkuu ule uzi wako naomba link niusome tena. Una kitu
 
Wakuu heshima Yenu! Mwezi uliopita niliandika thread yenye mambo Saba ambayo yatatokea kabla ya UCHAGUZI MKUU.

Jambo mojawapo ni kwamba TUNDU LISSU atatolewa kabla ya mwezi wa sita na Kundi la G-55 kuhama chama.

Leo hatimaye G-55 wameanza kuhama Chama na anayesubiriwa ni main character wao FREEMAN MBOWE Kwenda kugombea Urais CHAUMMA na wataunda coalition na ACT-WAZALENDO NA NCCR MAGEUZI.

Hili la coalition ntawaletea taarifa Rasmi na uthibitisho kati ya FAM NA ZZK. Ndiyo maana ZZK ameamua Kurudi Jimboni Kugombea.

Achana na hayo. Hili la klabu ya Yanga kutokucheza DERBY ni propaganda tu Ambazo zinaratibiwa kimfumo. Derby YANGA watacheza na wataipa jina DERBY YA MAMA na watatangaza kucheza derby SIKU kadhaa kabla ya Tundu Lissu kuachiwa Ili kuzima upepo wa Lissu.
Hiyo mikakati safari hii haitawasaidia. MUNGU YUPO KAZINI.
 
Kwenye huo muungano wameahidiwa kupewa Majimbo 20+ FAM na ZZK tayari ni Wabunge wanaosubiri kuapishwa
 
Hivi hawa watu wa G55, siku Lissu akiwa Raisi watasemaje? watafunika nyuso zao wapi? Hebu waache upumbafu... Uongozi ni kupokezana.. Period, kama ya mwanamke.
 
Back
Top Bottom