Tundu Lissu kushiriki katika Forum ya International Democratic Union

Tundu Lissu kushiriki katika Forum ya International Democratic Union

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Habari hii ni kwa mujibu tweet ya International Democratic Union:

We are pleased to confirm Hon. Tundu Lissu’s participation at the #IDUForum2020. Tundu Lissu is Vice-Chairman of @ChademaTz and was Presidential candidate in the recent elections in #Tanzania, which have been an example for an unfree, unjust and unrightful voting process.

Lissu.jpg
 
Tundu Lissu anaifungua dunia kuhusu mambo yanayoendelea nchini ambayo kwa mwenye macho ya mbali lazima aone consequences zikija mbeleni.

Serikali kupambana na Tundu kwa vyovyote ni lazima ipate failures sababu hoja zake ni za msingi na ushahidi wa kuaminika upo hvyo cha msingi ni kukaa nae chini na kujadiliana nae jinsi ya kusonga mbele kama taifa,tofauti na hapo itegemee anguko kubwa mbele ya jumuiya ya kimataifa.
 
Demokrasia ni mfumo mzuri lakini unatiwa ukakasi na mataifa ya magharibi kupenyeza ajenda zao kwa mgongo wa kutetea demokrasia.

Ndio maana uchina ameamua kujiweka mbali na huu mfumo kwa kuwa ndani yake kuna ajenda nyingi za western power. Ulazimishwaji wa demokrasia umeleta mabalaa mengi duniani kuliko faida.
 
Habari hii ni kwa mujibu tweet ya International Democratic Union:

We are pleased to confirm Hon. Tundu Lissu’s participation at the #IDUForum2020. Tundu Lissu is Vice-Chairman of @ChademaTz and was Presidential candidate in the recent elections in #Tanzania, which have been an example for an unfree, unjust and unrightful voting process.

Afanye midahalo hata mamilioni urais kaukosa kama inamsaidia ku steam out frustration zake ruksa adahale sanaaaaaaaa aongeee kingereza weeeeeeeeeeeee mpaka akohoe.
LISSU na Chadema matapeli tuelezeni huu wa kitapeli hewa uliishia wapi

1606726305412.png

Kwa mara ya kwanza katika historia, Taifa limepata Rais ambae hata international community inamuona he's nothing to offer and share na dunia in terms of intellectuality!

Kagame na udikteta wake wote lakini alikuwa anaalikwa huko duniani kwa sababu watu waliamini ana kitu cha ku-share! The so-called Mabeberu walifahamu pamoja na udikteta wa PK lakini ukimweka mbele atetetea anachokiamini, atakitetea in a more intellectual way, kitu ambacho Dikteta Jiwe hawezi!!
 
Hizi international forums za demokrasia duniani mbona wanawaruka CCM ? au hawa ni MABEBERU wanahamasishana kuivamia Africa kuwaibia madini yao... si bure.
 
Kwa mfano ndio akashiriki alafu ndio akasema kuwaaambia mambo hayajaenda kama walivyotaka, then ndio iwe nini?
 
Hizi international forums za demokrasia duniani mbona wanawaruka CCM ? au hawa ni MABEBERU wanahamasishana kuivamia Africa kuwaibia madini yao. Si bure.
Hizo sio international forum ni ki NGO cha wahuni wachache cha kuibia wazungu wenzao.

Angalia Lissu alivyokuja hakuja kugombea uraisi alikuja tu kutafuta platform ya kumtukana Magufuli tu.

Ndio maana unaona yeye kampeni nzima ilikuwa kutukana Magufuli tu.
 
Hizo sio international forum ni ki NGO cha wahuni wachache cha kuibia wazungu wenzao

Angalia Lisu alivyokuja hakuja kugombea uraisi alikuja tu kutafuta platform ya kumtukana Magufuli tu
Ndio maana unaona yeye kampeni nzima ilikuwa kutukana Magufuli tu
ina maana hata hao wagombea waliokatwa majina na NEC na wale waliobakiiziwa kesi siku chache kabla ya kurudisha form za uteuzi, pamoja na wale waliotekwa njiani wakati wa zoezi zima la kururudisha form za uteuzi Je hizo zote zilikuwa ni njama za Mabeberu kutaka kupandikiza mawakala wao ili kuvuruga amani na mshikamano wetu kama Taifa huru?
 
Hizo sio international forum ni ki NGO cha wahuni wachache cha kuibia wazungu wenzao.

Angalia Lissu alivyokuja hakuja kugombea uraisi alikuja tu kutafuta platform ya kumtukana Magufuli tu.

Ndio maana unaona yeye kampeni nzima ilikuwa kutukana Magufuli tu.
Ndio hivyo tena sasa ndio tunaenda kuchafuka kimataifa mpaka tukome
 
Demokrasia ni mfumo mzuri lakini unatiwa ukakasi na mataifa ya magharibi kupenyeza ajenda zao kwa mgongo wa kutetea demokrasia.

Ndio maana uchina ameamua kujiweka mbali na huu mfumo kwa kuwa ndani yake kuna ajenda nyingi za western power. Ulazimishwaji wa demokrasia umeleta mabalaa mengi duniani kuliko faida.
Kwahiyo kuua watu na kuwatesa ndio mfumo mzuri
 
Kwa mara ya kwanza katika historia, Taifa limepata rais ambae hata international community inamuona hana chochote cha ku-share na dunia!!

Kagame na udikteta wake wote lakini alikuwa anaalikwa huko duniani kwa sababu watu waliamini ana kitu cha ku-share! The so-called Mabeberu walifahamu pamoja na udikteta wa PK lakini ukimweka mbele atetete anachokiamini, atakitetea in a more intellectual way, kitu ambacho Dikteta Jiwe hawezi!!
Sisi tuliomchagua ndiyo tunajua thamani yake, wewe na hizo internation organisation zako endelea na yenu.
Huyo Lisu hata afanye makongamano mara milioni hatakuja kuwa Rais wa Tanzania
 
Back
Top Bottom