TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
This post is reserved for future reference.Hapa nilipo napiga uluxi na vigelegele kana kwamba Mhe. Tundu Antipas Lissu amekwisha apishwa kuwa Rais wa JMT...!!!!
TUKISEMA LISSU SIYO MTU WA MCHEZO MCHEZO MAFISI WANAGUNA....!!!
Natamani hizi Kampeni ziendelee mpaka 2025......najisikia vzr sana aise😁😁View attachment 1587911
Tatizo tunasoma msg za JF na kujisahau. Hawa ni watu wanaohangaika kuonesha kwamba Lissu ni muhimu sana! Hakuna jambo kama hilo. Walitunga hadithi kwamba atafanya Mdahalo na marais wa nje, akiwemo rais wa Ghana mwezi uliopita. Je, uliskia chochote? Ni mbimu ya wasio na shule kulazimisha umuhimu wa Lissu.Wanafanya video conference ama teleconference..
Mbona kama mleta uzi umetuachia wenyewe.
MkuuKuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .
Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF
=======
Mbona hutupi update? Au wamegoma? Labda balozi wa Ubelgiji vipi yupo TZ?Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .
Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF
=======
mabalozi nawo wapo ndani ya Tz mkuuNimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.
Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu waamuzi wangekuwa ni watanzania police na wengine wasingetumika kuiba kura kwa manufaa ya mtu mmojaHivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).
Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.
Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.
waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Well said mkuu[emoji122][emoji122]Magufuli kajitakia hizi shida zote kwa kubinya upinzani for the last 5 years akidhani amewamaliza.
Sasa CDM wamekuwa kama dhahabu this time, coz watu walishawamisi sana. Kwa njia hii, Magufuli aliamini kwamba uchaguzi utakuwa mwepesi sana kwake, lakini kinyume na matarajio yake uchaguzi umekuwa mgumu sana kwa ccm kuliko chaguzi zote za nyuma, coz hawakujiandaa kabisa na upinzani wa aina hii.
Jumlisha na umahiri wa Lisu kisheria na kisiasa, unapata picha kamili kwamba ccm wama hali mbaya sana.
Hivi karantini yao machadema iliishiaga wapi?
fix tu wanatafuta kick kwa uongoMbona hutupi update? Au wamegoma? Labda balozi wa Ubelgiji vipi yupo TZ?
Ukiwa msaliti usiwe na aibuKuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .
Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF
=======
2015 walibeba makabrasha wakasema wanaenda ICCThis time CDM wamejipanga kweli kweli.
vipi hao mabalozi hewa wa Lisu mwenye akili timamu hewa walishakutana naye?Mabalozi wanakutana na watu wenye akili timamu tu km Tundu Lissu
Unatamani kujua ila watu wamekausha hakuna wa kukujibu. Kama unataka kujua kilichoongelewa omba kwa adabu tutakwambia.vipi hao mabalozi hewa wa Lisu mwenye akili timamu hewa walishakutana naye?