dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Kesho mwamba na mwamba wanakutana Hai ambapo Tundu Lissu anatarajiwa kufanya mikutano mfululizo jimbo la Hai na atakuwa na mkutano jimboni huko pekee pamoja na mwenyeji wake Freeman Mbowe.
Huyu atakuwa mtu wa tatu kulirarua vilivyo jimbo la Hai baada ya Slaa (2010) na Lowassa (2015) kufanya mikutano mitatu kila mmoja jimboni humo.
Tundu Lissu naye anatarajia kufanya mikutano mitatu tofauti ndani ya jimbo hilo kabla ya kuambatana na Mbowe kwa Chopa kuanza kuizungukia sehemu ya Tanzania iliyobakia.