Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutikisa Hai kesho (Sept 29). Atarajiwa kufanya mikutano mitatu ndani ya jimbo hilo kama walivyofanya Slaa na Lowassa

Nyomi iliyokalishwa kwenye viti? Unajua Kama viti vinaachiana nafasi? Unaona nyomi ya Chadema wakiwa wamesimama? Wanaachiana nafasi sawa na ile inayoachwa na viti?

Hebu mfanye mikutano bila kupanga viti, au kuwakalisha chini tuone Hilo nyomi lenu.
 
Hilo nyomi unaweza kuliljnganisha na nyomi lipi la Lissu tena Lissu anaenda kwenye viwanja vya uchochoroni hawezi kufanyia kwenye viwanja vikubwa kama vya mipira.
 
hii haitusumbui kichwa, wengi wamefuata burudani ya bure kutoka kwa wasanii hapo...achilia mbali mnaowasomba toka vijijini kwa malori!.
Kwani mmeshindwa kusomba na kuweka wasanii?
 
MAFURIKOOOO,lowasaaaaaaaaa

LOWASSA,mafurikooooooo

mwisho wa siku,chiiiiiiiiii jeeeeeesuuuuj.
Lowa assa alishinda ule uchaguzi mbaba,ye badala ya kuhamasisha watu waingie road kudai haki akaenda kushitaki kwa TB Joshua,
 
Kesho mwamba na mwamba wanakutana Hai ambapo Tundu Lissu anatarajiwa kufanya mikutano mfululizo jimbo la Hai na atakuwa na mkutano jimboni huko pekee pamoja na mwenyeji wake Freeman Mbowe.

Huyu atakuwa mtu wa tatu kulirarua vilivyo jimbo la Hai baada ya Slaa (2010) na Lowassa (2015) kufanya mikutano mitatu kila mmoja jimboni humo.

Tundu Lissu naye anatarajia kufanya mikutano mitatu tofauti ndani ya jimbo hilo kabla ya kuambatana na Mbowe kwa Chopa kuanza kuizungukia sehemu ya Tanzania iliyobakia.
Mkuu SHIKAMOO....
 
wamekuja kumwangalia harmonize ,halafu nusu hapo ni wanachama wa CCM Iringa nzima wamesombwa na malori,wapiga kura wetu ni wale kule nyuma wamekaa bila sare wanawachora tu
Changanya na watoto wa shule
 
Hawa walianza kusombwa one day before kuja hapo, ukitaka uone uhalisia acha kusomba watu, imean tanfaza alafu kaa kimya uone 🔥!
Vipi mmekatazwa kuwasomba na NEC au?
 
Kesho mwamba na mwamba wanakutana Hai ambapo Tundu Lissu anatarajiwa kufanya mikutano mfululizo jimbo la Hai na atakuwa na mkutano jimboni huko pekee pamoja na mwenyeji wake Freeman Mbowe.

Huyu atakuwa mtu wa tatu kulirarua vilivyo jimbo la Hai baada ya Slaa (2010) na Lowassa (2015) kufanya mikutano mitatu kila mmoja jimboni humo.

Tundu Lissu naye anatarajia kufanya mikutano mitatu tofauti ndani ya jimbo hilo kabla ya kuambatana na Mbowe kwa Chopa kuanza kuizungukia sehemu ya Tanzania iliyobakia.
MWAMBIENI OLE SABAYA KUNA SALAMU ZAKO
 
Back
Top Bottom