Nyomi iliyokalishwa kwenye viti? Unajua Kama viti vinaachiana nafasi? Unaona nyomi ya Chadema wakiwa wamesimama? Wanaachiana nafasi sawa na ile inayoachwa na viti?Hataifikia nyomi hii
View attachment 1583716
Hebu mfanye mikutano bila kupanga viti, au kuwakalisha chini tuone Hilo nyomi lenu.