dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Hataifikia nyomi hiiKesho mwamba na mwamba wanakutana Hai ambapo Tundu Lissu anatarajiwa kufanya mikutano mfululizo jimbo la Hai na atakuwa na mkutano jimboni huko pekee pamoja na mwenyeji wake Freeman Mbowe.
Huyu atakuwa mtu wa tatu kulirarua vilivyo jimbo la Hai baada ya Slaaa (2010) na Lowassa (2015) kufanya mikutano mitatu kila mmoja jimboni humo.
Tundu Lissu naye anatarajia kufanya mikutano mitatu tofauti ndani ya jimbo hilo kabla ya kuambatana na Mbowe kwa Chopa kuanza kuizungukia sehemu ya Tanzania iliyobakia.
Mungu yupi?Mungu mbariki Tundu Lissu.
Naona mmegundua ujanja mwingine wa kupanga viti. Yani CCM mnateseka balaa!Hataifikia nyomi hii
View attachment 1583716
Hawa watu wamekaa kwenye viti kumbe!Hataifikia nyomi hii
View attachment 1583716
Hahahaha mtanyooka tu Magufuli Baba Lao.Naona mmegundua ujanja mwingine wa kupanga viti. Yani CCM mnateseka balaa!
Watu wasitaalamu hakuna vurugu hata chembe. Wapigakura wa uhakika tena wamejiandikisha wote!Hawa watu wamekaa kwenye viti kumbe!
Hahahaaa mmepagawa, Lisu kiboko yenuWatu wasitaalamu hakuna vurugu hata chembe. Wapigakura wa uhakika tena wamejiandikisha wote!
Kwa lipi wakati anaongea kama kichaa!Hah
Hahahaaa mmepagawa, Lisu kiboko yenu
Mungu aliyemponya kutoka uvuli wa mauti ulioratibiwa LumumbaMungu yupi?
wamekuja kumwangalia harmonize ,halafu nusu hapo ni wanachama wa CCM Iringa nzima wamesombwa na malori,wapiga kura wetu ni wale kule nyuma wamekaa bila sare wanawachora tuHataifikia nyomi hii
View attachment 1583716