Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutikisa Hai kesho (Sept 29). Atarajiwa kufanya mikutano mitatu ndani ya jimbo hilo kama walivyofanya Slaa na Lowassa

Mamisukule hayanaga kumbukumbu, Lissu anadanganywa na watu wanaokuja kumuona mlemavu anayeng'ang'ania kuwa Rais wa nchi kwa huruma ya kupigwa risasi
Pale msukule mwandamizi unaposhangaa vimsukule vidogo....akili zenu mavi tupu hvi unajua lowassa alipata kura ngapi za cdm....huwez kuelewa wew zombie unatoa maushuz tumbo ka kifutu
 
Ngoja tume waandikr barua tena waikimbize kwa bodaboda
 

Hii ni habari njema.
Vipi sabaya yupo au amekimbia? Maana huyu hakawii kutuma vibaka
 
MAFURIKOOOO,lowasaaaaaaaaa

LOWASSA,mafurikooooooo

mwisho wa siku,chiiiiiiiiii jeeeeeesuuuuj.
Duuu alishindwa kwa kura ngapi? Pia kumbuka ilikuwa awamu ya kwanza ya maguful hivyo lowasa alikuwa na makandokando zaid ya magu. Kwa sasa Magu hana mvuto baada ya kuumiza watu kiuchumi hivyo lissu n zaidi
 

Mkuu wacha upotoshaji huko ni tarehe 30 au tarehe 1.
Keshi ni Chuga.
 
Duuu alishindwa kwa kura ngapi? Pia kumbuka ilikuwa awamu ya kwanza ya maguful hivyo lowasa alikuwa na makandokando zaid ya magu. Kwa sasa Magu hana mvuto baada ya kuumiza watu kiuchumi hivyo lissu n zaidi

huo mvuto mnaupimia wapi??

2025 mtasema pia 2020 alishinda magu sababu alikuwa amejipatia umaarufu zaidi kwenye miundombinu.

kama swala ni kupendwa na si kazi basi watz tuna shida sehemu.
 
Kama iringa ndio hivyo sijajua viwanja vya Jangwan DSM mziki wake utakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…