kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Umechazwa acha kuvunga bibie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Amekuchakaza wewe na mmeo sio ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umechazwa acha kuvunga bibie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Amekuchakaza wewe na mmeo sio ccm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa misumari hii ya lissu , hawezi kuthubutu tenaNa bado anataka kuongeza zingine!!
Usije shangaa akawa ndie MnyikaKwa kweli inabidi CHADEMA wamtunuku huyu asee maana kazi yake hata Mnyika hafui dafu.
Ndio tunao wawakilishi wa CCM hadi meza kuu za mikutano yote ya Lisu Lengo ni kuhakikisha CCM inapata taarifa sahihi za mahuddhurio na kilichosemwa bila kutegemea propaganda za mitandaoni pili Ni kuhakikisha mashirika ya kijasusi ya ulaya na Marekani yanapata report sahihi ya mikutano ya Chadema wa ki counter check bila kutegemea report za tapeli Amsterdam au Photoshop za Chadema na tapeli LisuKumbe taarifa za Chadema mnazo?