Ndio tunao wawakilishi wa CCM hadi meza kuu za mikutano yote ya Lisu Lengo ni kuhakikisha CCM inapata taarifa sahihi za mahuddhurio na kilichosemwa bila kutegemea propaganda za mitandaoni pili Ni kuhakikisha mashirika ya kijasusi ya ulaya na Marekani yanapata report sahihi ya mikutano ya Chadema wa ki counter check bila kutegemea report za tapeli Amsterdam au Photoshop za Chadema na tapeli Lisu