Hayo maendeleo unayoyataka ni siasa kama ulikuwa hujui ndio ujue, ile bajeti inayosomwa kule bungeni ndio inatoa muelekeo kama taifa tunaelekea wapi kiuchumi na kijamii, ukiona watu wanapigania Katiba Mpya ujue wanataka kila mwananchi aifaidi nchi yake.Hii ni MADA ya wanasiasa wanaotafuta unafuu wa kupenya kuingia IKULU.
Wananchi MADA yetu ni MAENDELEO STAHIMILIVU pamoja na huduma bora za kijamii.
Mkuu, ungesema sio Mzena Hospital. Hiyo Bugando mbona ina nafuu watu wanaponaga bila kujifukizani kweli ila hospitali zile siyo Bugando
Jela bila hukumu au?lisu ana kesi nyingi sana mahakamani, au umesahau ? huyu akirudi ni moja kwa moja jela
Nimeona kuna comment unasema ana kesi nyingi kama sababu ya kukamatwa. Kama ndivyo, basi ujiulize ni kwanini alipokuwa nchini hakukamatwa?Amerudi Tanzania, huyu ni wakukamata na kupeleka jela.
Haiwezekani ,mtofautishe TUNDU LISU NA BABA ako ,mluguru wewe jf umefikaje hapaAmerudi Tanzania, huyu ni wakukamata na kupeleka jela.
Utashangaa sana na mwisho utaona matokeo yake....lisu ana kesi nyingi sana mahakamani, au umesahau ? huyu akirudi ni moja kwa moja jela
... ha ha ha! Kaka umeua! Kweli Mzena lango la Mbinguni! Sorry, na Jehanamu pia!..operesheni zinazofanyika hospitali ya mzena ndio wagonjwa huwa hawaponi.
Kwa kesi ipi ?
Mwendazake mwenyewe katoka nduki itakuwa weye!!Amerudi Tanzania, huyu ni wakukamata na kupeleka jela.
Mimi sijui kwa nini TAL hatumiwi "fully & effectivelly" na serikali!!Nasubiri kwa hamu kuu, jamaa ni kichwa saana...madini tupu!! Binafsi hajawahi niangusha hoja nzito zenye mashiko!! Hazina ya taifa.
Ni watanzajia wachache saana wenye level kama yake!!
Siku muhim Sana ,vyema ikimpendeza mh SSH ,basi ajumuike,Katiba Day ni siku ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeandaa kongamano la kujadili umuhimu wa kuwepo kwa Katiba Mpya itakayotokana na Raia wote, pamoja na mjadala huo pia kutakuwa na mjadala wa kuchagiza uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi.
Tundu Lissu atakuwa miongoni mwa magwiji watakaotoa mada.
Kongamano hilo litafanyika tarehe 1 JULY 2021.
View attachment 1827616
Katiba Day ni siku ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeandaa kongamano la kujadili umuhimu wa kuwepo kwa Katiba Mpya itakayotokana na Raia wote, pamoja na mjadala huo pia kutakuwa na mjadala wa kuchagiza uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi.
Tundu Lissu atakuwa miongoni mwa magwiji watakaotoa mada.
Kongamano hilo litafanyika tarehe 1 JULY 2021.
View attachment 1827616
Kwa kosa gani, ? au ndo mmeanza mwendelezo wa kusaka teuziAmerudi Tanzania, huyu ni wakukamata na kupeleka jela.
Kuna taarifa kwamba atapelekewa mwaliko rasmiSiku muhim Sana ,vyema ikimpendeza mh SSH ,basi ajumuike,
Hongera sana Shujaa wa Taifa, Tundu Antipas Mughwai Lissu hongera sana CHADEMA, kwa kuelimisha umma kuhusu mambo mbalimbali muhimu sana.Katiba Day ni siku ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeandaa kongamano la kujadili umuhimu wa kuwepo kwa Katiba Mpya itakayotokana na Raia wote, pamoja na mjadala huo pia kutakuwa na mjadala wa kuchagiza uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi.
Tundu Lissu atakuwa miongoni mwa magwiji watakaotoa mada.
Kongamano hilo litafanyika tarehe 1 JULY 2021.
View attachment 1827616