Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kutoka kuwa mtafuta kura za huruma mpaka kuwa mchochezi ambaye anaachwa avunje Sheria

Inashangaza kwamba kuna watanzania bado wanaishabikia ccm, mara nyingi ni kwa ajili ya matumbo yao tu.
 
Inashangaza kwamba kuna watanzania bado wanaishabikia ccm, mara nyingi ni kwa ajili ya matumbo yao tu.
Mbona hapa nilipo sijala, ila nasema ukweli kwa manufaa ya umma wa watanzania.
 
Kuna kete moja tu baada ya raisi kutangazwa. Hiyo kete anayo yule anayeenda kukatwa ndio maana kwa sasa anapewa ushirikiano na kuachwa ili kufifisha nguvu ya kete wakati atakapotaka kuitumia.
 
Ukiambiwa utoe ushahidi juu ya chadema kupanga njama za kumshambulia lisu utautoa huo ushahidi,kuwa makini na uwandishi wako,maana mpaka sasa aliemshambulia lisu hajajulikana nawe ukae kimyaa

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Kuhutubia kwa Kisukuma unajua kwenye sheria za uchaguzi imekatazwa?

Kama umeenda shule utaelewa nazungumzia nini.
"Kuhutubia kwa Kisukuma unajua kwenye sheria za uchaguzi imekatazwa?"

Muhutubiaji mwenyewe sheria kwake ni mzigo, ndio maana anafanya ziara kama raisi badala ya kampeni. Na ndio hapo anapo wapelekea zogo la kina Zuchu, halafu yeye anaongea na kikundi kidogo cha ndugu zake. Walio baki ukiwauliza kumezungumzwa nini hawatokwambia la maana, kwa sababu walikwenda tu kuwaona kina Zuchu mubashara.

"Kama umeenda shule utaelewa nazungumzia nini".

Kauli hii nimeipenda, inanikumbusha kauli ya msomi maarufu.
Namnukuu: "Nikishindana hoja na mjuzi wa hoja (msomi) nina uhakika nitamshinda, kwa sababu anaelewa nazungumzia nini. Lakini nikishindana na hasiye jua hoja (mjinga) anaweza kudhani kwamba amenishinda kwa sababu haelewi nazungumzia nini".
 

Unaenda Zanzibar bila aibu na bila kutumia busara unatamka kuwa, upinzani umekuwa unashinda uchaguzi wa Zanzibar tokea mwaka 1995. Je, unao ushahidi juu ya hili?

We unae ushahd kuwa chadema ndo wamempiga risasi mtu wao na kutoa camera eneo lile,,?

Serikali ilikataa waje wachunguzi toka nje means watakuwa na njama na chadema sio ? Tangu lini wameanza shirikiana hivi vyama viwili...

Kuwa na akili hata kwa sekunde
 
Chuki ipi? Itaje tafadhari.
 
Kuhutubia kwa Kisukuma unajua kwenye sheria za uchaguzi imekatazwa?

Kama umeenda shule utaelewa nazungumzia nini.
Lissu alipokuwa Singida haKuwa anahutubia kikwao [kinyaturu]? Mbona magufuli hata akienda mbeya husalimia kinyakyusa kwani ni mnyakyusa?
 
Kimsingi Ilani ya CHADEMA haina jipya na hii inamfanya Lissu aloose focus.. Hata ukifuatilia hotuba zake hanadi ilani ya chama chake. Bahati nzuri watanzania hawana interest tena na siasa za kiuwanaharakati hata akichochea fujo namna gani ataungwa mkono na wachache tu wa mitandaoni ambao wengi hawamo hata kwenye database ya NEC.
 
Ahaaaa. Sasa kwa nini Lissu anahangaika kupanda ndege ambazo zimefunguliwa nati ili afe?
Kuna kitu anatafuta, kwa lugha ya kitaalamu tunaita 'false flag' event.

Sidhani kama toka awali alijua hata kama atagombea atashinda so strategy yake ilikua ni kushiriki uchaguzi and cause alot of damage in the process regardless of the outcome. Na yeyote atskayemyoishea kidole bwana Amsterdam atajibu mapigo.

Tatizo ni kwamba wenzake wamebaini hiyo strategy kwa hivyo basi hawataki kumjibu ama kumyooshea kidole hata akitoa matamshi ya kuudhi namna gani and that does not sit well with him lakini ndio hivyo mda nao unazidi kwenda soon wana watakwenda boksini kumaliza ubishi.

Siasa ni sayansi
 
Nje ya mada
 


Naomba nikuulize.

Zanzibar ni NCHI au ni sehemu ya TANZANIA kama Mtwara, Mbeya, Mwanza, Kagera, Mara, Dodoma, Dar es salaam, Arusha, Morogoro, Shinyanga, Simiyu, Singida, Tabora, Kigoma, Ruvuma au Geita?

Je, Watanzania wa Bara Wenye shahada za kupigia kura wanaruhusiwa kupiga kura kumchagua Rais wa Serikali MAPINDUZI ya Zanzibar?

Je, Zanzibar kuna IKULU ambayo ni makazi ya Rais wa Serikali ya MAPINDUZI ya Zanzibar?

Zanzibar kuna ZEC na Bara kuna NEC,

Je, Viongozi wa ZEC huteuliwa na nani?

Je, WAGOMBEA wa Nafasi za Uongozi wa nafasi za KISIASA Zanzibar ni Wazanzibar tu au na Wabara wanaruhusiwa KUGOMBEA?

NINI MAHUSIANO YA ZEC NA NEC?

Kwa Nini TUME YA UCHAGUZI isiwe moja?

Je, Rais wa Serikali ya MAPINDUZI ya Zanzibar anaweza kutangaza VITA DHIDI YA ZANZIBAR?
 
Nashangaa na watu wanaojinasibu kuwa ni vipanga, wabobezi wa masuala mbalimbali wanasema ni genius na Zawadi kutoka kwa mungu!!!! Huyu ni mkosi tu. TL dish limeyumba si bure maana yeye ana kinyongo na JPM. Nadhani angeonana na JPM ana kwa ana angeralula kwa meno yake.

Hivi gari alilokuwemo wakati hizo risasi zikipigwa lilikuwa la left hand? Maana ubavu uloumizwa ni wa kulia.
 
Yapi hayo, fafanua ukiwa na ushahidi. Maana hili la ndege kufunguliwa nati ili afe hata kiziwi analijua
Usituchoshe na hadithi za alfu ulela ulela
Lissu kanyaga twende
Wavunja sheria miaka yote tanguuuuu ni hao leo mnawaita malaika
Tutelewana tu
 


Kama wakati anajihami aligeuka na kulalia tumbo unategemea risasi zitampata kushoto tena?

Au ulimwona wakati anashambuliwa alikuwa amelala chali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…