Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kutoka kuwa mtafuta kura za huruma mpaka kuwa mchochezi ambaye anaachwa avunje Sheria

Mimi sipendi hearsays kama kwenye kahawa. Kama uno ushahidi tupandikiwe hapa. Jecha alifuta matokeo sababu kuna mtu alifanya makosa akajitangaza kuwa ameshinda.
Weka ushahidi wa matokeo ya upinzani kushinda Zanzibar tokea 1995.


Jecha angetangaza MATOKEO HALALI bila KUJALI nani kasema nini kungekuwa na SHIDA GANI?

MEMBE AKISEMA, KWA TATHIMINI YAKE AMESHINDA UCHAGUZI, UCHAGUZI UTAFUTWA?

ZANZIBAR KURA ZA MUUNGANO NI "YEYE" NA ZANZIBAR NI "MAALIM"
 
Mkuu unaweza kuprove kitu kwa oral evidence au contents of documents.
Nimeuliza uliona hizo document zikisainiwa? Tundu Lissu aliona? Mnazo kopi original? Hata kama sio mahakamani mnaweza kutueleza hapa jukwaani.
Swali langu la mwisho ambalo nataka majibu ni je Tanzania kuna jeshi la Tanganyika, ambalo linakaa kwa mabavu Zanzibar?
 
Katiba yenyewe ni batili, haikufuata utaratibu wa kisheria ie tanganyika haijafutika.
Unaweza kushangaa na wewe una smartphone ya mil 2.Alafu akili huna. Katiba kama ni batili nchi hii ingetawalika?
 
Weka kifungu cha sheria. Na wapi amehutubia Kisukuma? Au hiyo chomekea ndio hotuba?
Wewe ni 'zwazwa' usiyejua lolote.

Mtoe kwanza hiyo boriti Magufuli jichoni pake Kisha kimbia kamtoe kibanzi Mh TL
 
Wewe ni 'zwazwa' usiyejua lolote.

Mtoe kwanza hiyo boriti Magufuli jichoni pake Kisha kimbia kamtoe kibanzi Mh TL
Acha hasira, nataka mje na majibu hapa. Jeshi la Tanganyika analolisema Lissu ni lipi?
 
Ungeanza na Magu ambaye ametamka na kuonesha ubaguzi na chuki za waziwazi kwa wananchi kwa kutoa vitisho na kusema akipiti hataleta maendeleo kwenye maeneo waliochagua upinzani ,huyu hafai anapanda mbegu ya chuki kodi tunalipa wote kama vipi tugawane kila mtu kwao arudi chato.
Lisu ongeza sindano za ukweli haya mataga yalizoea kuficha ukweli na kunadi uongo ili watu wasijue mbivu na mbichi ndio maana yanaweweseka
 
Aisee nimefuatilia kampeni za Mgombea Lissu tangu mwanzo, hakuna mahala aliposema anahtaji kura za huruma! Hoja zake zinabamba haswaa sio blablaa!

CCM wameshapoteana kila siku watu wanaitana kuongeza nguvu kumkabili mtu mmoja! Tatizo kubwa CCM na wafuasi wake tayari mlishajenga kajitabia kakutotaka kuambiwa ukweli au kulazimishwa kutenda haki!

Hayo kwernu ni uchochezi, ni matusi! Jipangeni kisaikolojia! Tumeshamsikia hata mgombea wenu anazungumzia aonewe huruma na yeye apitishwe bila kupingwa kama walivyowapitisha baadhi ya wabunge na madiwani!

Mungu akwamishe kabisa mchezo huo mchafu na wote wanaopanga njama hizo washindwe na wapate anguko kuu!
 
Kwanza hafai yaani anakanyaga katiba na kunajisi umoja wa kitaifa,alafu anadhani kutimiza wajibu wake kama rais kwa mujibu wa katiba na kiapo kwa wananchi ni kuwanyia hisani,mtu dizaini hii hajui hata chembe ya uongozi yaani huko ccm sijui wameishiwa watu au vipi,kiufupi wajinga ndio wanaweza mpigia kura Magu maana anafanya mambo kienyeji wakati ni hatari kwa ustawi wa taifa na anaachwa tu
 
Wewe nae ni mtetezi wa Chadema mitandaoni! Umeishia darasa la ngapi?
Mgombea urais kusema kuna jeshi la Tanganyika linalowakalia kimabavu wazanzibari ni ukweli?
Kama kuna watu walifanya njama ili ndege yake ianguke kwa nini asiwashitaki?
Ila kwa haraka tu wewe ni mbumbumbu ambae unadakia mambo makubwa.
 
Nyani haoni...Wamejipa upofu wa kuona hayo yanayofanywa na Jiwe na watu wake.Mama Samia naye kanogewa na damu zetu,anaposema askari ya CCM Mpya hawapigi zaidi ya risasi tatu kama vile wanashambuliwa ni wanyama pori.Risasi za nini tena?
 
Sheria ya ushahidi inasema ushahidi wa document ni superior than oral evidence
Unataka upewe copy original wakati hizo original zina matokeo feki
Ulitakiwa uombe document kutoka vituoni vya kupigia kura hivyo ndiyo vinatoa Picha halisi kwenye majumuisho ya kura
Unataka nieleze jukwaani wakati hakuna kitakachotendeka but rather mods watafuta tu
Jeshi la Tanganyika liko Zanzibar since 1960s au hujui?
 
Ni kweli jeshi hilo lipo haina ubishi rejea kitabu cha Dr harith ghassany kwaheri ukoloni kwaheri Uhuru
Akawashitaki wapi? Uhuru wa mahakama upo? DPP naye? Police?
 
Ushahidi wa document ni superior than oral? Mh hii ulisomea wapi? Au kifungu gani cha TEA?
Kama unasema hizo original zenye matokeo fake uliziona?
Haya tuwekee ambazo zinamatokeo original.
 
Sasa kama ndio hivyo kuwa ni suala ambalo halihojiwi na kuchunguzwa na chombo chochote, Lissu alipata mamlaka gani ya kuchunguza? Ana mamlaka gani ya kusema upinzani ulishinda Tangia 1995?
Lissu kasema uhalisia.

Na kuhusu kuchunguza au kutokuchunguza kumbukeni wapinzani wako smart sana na matokeo ya uchaguzi halisi huwa wanakuwa nayo na ndiyo maana mwaka 2015 Maalim seif aliwawahi time akatangaza kura zake
 
Ni kweli jeshi hilo lipo haina ubishi rejea kitabu cha Dr harith ghassany kwaheri ukoloni kwaheri Uhuru
Akawashitaki wapi? Uhuru wa mahakama upo? DPP naye? Police?
Kwa hiyo Jwtz ni jeshi la Tanganyika? Chadema kweli ina watu!
 
Mleta mada Lissu sio aina yako,washauri wenye uwezo wa kufikiri kama ulionao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…