nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
Kweli cdm wanatapa tapa. Mi ningeshauri watulie kuimarisha majimbo ya ubunge urais waachane nao. Magufuli hana doa. Kila anaye mlaani anajilaani kwani jamaa ni mkeeli na muwazi sana.
haa haaa magufuli hana doa eeh? subir madoa yake yawekwehadharani. ndani ya ccm kila mtu ni fisadi isipokuwa kiwango...