nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
Kweli cdm wanatapa tapa. Mi ningeshauri watulie kuimarisha majimbo ya ubunge urais waachane nao. Magufuli hana doa. Kila anaye mlaani anajilaani kwani jamaa ni mkeeli na muwazi sana.
Kweli cdm wanatapa tapa. Mi ningeshauri watulie kuimarisha majimbo ya ubunge urais waachane nao. Magufuli hana doa. Kila anaye mlaani anajilaani kwani jamaa ni mkeeli na muwazi sana.
Mkuu Paschal hao wanaoeneza habari kuwa Tundu Lissu katika hotuba yake ya Mwanza ameendekeza ukabila, hao ni Propagandists wakubwa ambao humu JF huwa 'tumewabatiza' kama Buku 7 Lumumba Sports Club.
Kwa hiyo hao wasikutie hofu, kwa kuwa kwao wao kuweza ku-attend 'msalani' ni lazima wapost vitu humu jamvini vya kuukandia upinzani hata kama vitu hivyo vitakuwa ni fabricated stories.
Lengo kuu ni kupata per day yao pale Lumumba ili mkono uweze kwenda kinywani.
Mbowe, Slaa, Mnyika, Tundu, Sugu hawa kabila lao ni lipi?
Kabila lao ni uzalendo
Uliuwasha weweMkuu vipi moto wa ACT haujawaka tu.
kabila la ccm lina koo kuu zifiatazo.
1. EPA
2. BUZWAGI
3. KAGODA
4. MEREMETA
5. OPERESHENI TOKOMEZA
6. UTOROSHWAJI WA TWIGA
7. RICHMOND
8. UUZWAJI NYUMBA ZA SERIKALI( HUU NI UKOO WA MAGUFULI)
9. BUNGE LA KATIBA( UKOO WA SAMIA SULUHU)
10. UKOO WA PEMBE ZA NDOVU aka UJANGILI( HUU NI UKOO WA KATIBU WAO MKUU KINANA)
10. KUNA UKOO MKUBWA SANA TENA MPYAAA UNAOITWA ESCROW.
koo zingine ongezea wewe.
kanda ya ziwa hakuna mchaga atakae shinda ubunge.Wanaosifia utendaji wa magufuli wanampima kwa barabara za lami. Lakini ndiyo hizi barabara zinazojengwa chini ya kiwango kila iitwapo leo.
Kwa sababu ya kujengwa chini ya kiwango tumepoteza ndugu zetu wengi kwa ubovu wa barabara. Kwa mfano, ajali ya pale Mafinga iliyoangamiza wengi ni kwa sababu ya ubovu wa barabara ambazo zimejengwa hivi karibuni.
Sifa ambazo ni za kijinga anazopata Magufuli ni barabara ikiishajengwa kufoka kwamba ipo chini ya kiwango. Swali ni anakuwa wapi mpaka asubiri zimalizike ndipo atafute TBC kwenda kututangazia kwamba jamani barabara hii chini ya kiwango, na nyingine nanyingine???.
Wote wenye akili zao wanajua fika kuwa kampeni za urais zilishaanza tangia ndani ya bunge la bajeti, kwenye utia nia, utambulisho na kadhalika. Wewe unasubili kipenga cha NEC? Ikalaga baho! CUF walishatangaza mgombea wao, CDM walikuwa wamtangaze mgombea wao pale kwenye mkutano wa Mwanza wakasita kwa sababu/taarifa wanazozijua wao - kuna tetesi yule mkubwa wa akina Lembeli wanamsubili atoe maamuzi magumu, na vyama vingi tu vya upinzani vilishatoa wagombea wao ngazi za Urais. Tanzania ina vyama vya upinzani zaidi ya ishirini kama ulikuwa hujui.
Niahidi kuwa utampigia kura ya ndiyo Mh. Dr. Magufuli!Ambacho watu wa ccm mnashindwa kuelewa ni kwamba asilimia kubwa ya wananchi wa nchi hii ikiwamo mimi hatujafungamana na wala si wanachama wa chama chochote, mtu akisimama kukemea mabaya ya ccm mwaanza kuwaka cdm watakoma mara hii, mbona mwatuvika vyeo ambavyo hatuna?
Naomba uelewe watanzania wengi hatuna vyama ila huunga mkono wale wanaoonesha njia na neema ya kuleta matumaini na pia uelewe kuwa zile fikra za kwamba ccm watatawala milele kwny kizazi changu tuliofumbuliwa macho na shul za kata japo elimu yetu sio bora ni ngumu, tarajia mabadiliko na uwe tayari kuyapokea ata km sio sasa inaweza kuwa badae ndani ya leo.