Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutumia hoja za ukabila ktk kampeni za Urais ni halali?

Dr Akili

Nimeshasema sana kuhusu huyu Jamaa yetu sii mwanasiasa kabisa sijui kwa nini Chadema wanampa jukwaa. Huyu abakie katika mambo ya sheria mahakamani tu..
 
Last edited by a moderator:
Nimeshasema sana kuhusu huyu Jamaa yetu sii mwanasiasa kabisa sijui kwa nini Chadema wanampa jukwaa. Huyu abakie katika mambo ya sheria mahakamani tu..

..mambo mengi anayoyasema Tundu Lissu ni yale ambayo wengi wanatamani kuyasema lakini wanashindwa kwa sababu ya kukosa ujasiri.

..huyu Magufuli ndiye waziri wa kwanza maishani mwangu kumsikia akihutubia kwa kilugha.

..nashukuru Tundu Lissu ameamua kumlipua mchana kweupe.

cc Nguruvi3
 
Last edited by a moderator:
Siasa dhaifu, mnaongelea makabila? Mtanzania yupi asiyejua kuwa JPM ni mwana CCM? Toka lini chama likawa Kabila la mtu? Tatizo mnojiita wapinzani mnatuona wote Mandaza tu. Mabadiliko hayawezi letwa na ubaguzi wala kauli zenye kuzua sintofahamu.
Zamani kulikuwa na utaratibu wa kuandaa hotuba, kiongozi akiyapima maneno yake kabla hajayaleta kwa umma, siku hizi hamna tena. Wote wanaropoka tu, halafu wala hawaji kutetea kauli zao, sie ndo tunafanya kazi za kuwasafisha. Tuwakumbushe viongozi wa vyama vyote kuandaa hotuba zao. Wayapime watayowaambia watu na kuwashirikisha viongozi wenzao wa karibu ili wawasaidie kuyaangalia kwa jicho la pili, wazipime athari zake kwa jamii.
Siasa sio maigizo, kuficha script ukiamini mwenzako atawahi kuitengenezea movie kabla yako.
 

Ok sawa na huyu wen u huwa akihutubia anasema nini
ASANTE lisu kwa kuwaonyesha Magufuli ni nani poleni sana Inawaa sana
 
Amesema kabila la magufuli ni ccm na ndo ukweli

umesema exactly alosema Lisu na ni ukweli mtupu.CCM ni kabila la mafisadi ili uwe mwana CCM lazima uwe fisadi.Magufuli ni mmoja wao amewekwa kuendelea kulinda mafisadi.
 
umesema exactly alosema Lisu na ni ukweli mtupu.CCM ni kabila la mafisadi ili uwe mwana CCM lazima uwe fisadi.Magufuli ni mmoja wao amewekwa kuendelea kulinda mafisadi.

Hayo akayaseme jimboni kwake, boss wake mbowe keshajengewa barabara ya lami roho kwatu na JP, yeye ahangaike kurudi bungeni tu haya ya urais awachie wengine.
 
Simple minded people discuss people. Tangazeni sera zenu achaneni na Rais Magufuli
 

Chadema bana mara ohh chadema kama kanisa mara mgombea huyu sio msukuma dah ndio wanataka nchi hii
 

kwanini umeandika hoja niliyotaka kutoa ? mi niandike nini sasa? basi andika kwa niaba yangu kila kitu.
 
Jiandaeni kuandamana mnaenda Ikulu kwa Mh. Magufuli.....maneno mengi hayatafanya kazi jamaa mtamsoma namba tu.
 


kwa hiyo Barabara nyingne ambazo hazijatengenzwa kwa kpnd cha Magufuli na ajari n kama kawa inakuwaje? All in all unamaanisha kabla ya Magufuli hakukuwepo na ajari ama nn? try to think beyond the scope sio mnaleta hzo mambo bwana....tangazeni Sera.

Tena jarbu kuwa makini na watu wanaokosa kuteuliwa at one side wanakimbilia pengne....waangalie Mara mbili mbili.
 
Lissu na ukabila, Msigwa na kanisa...viongozi wa CHADEMA hawana sifa za kutuongoza watanzania.
 
Dr Akili

Hivi huku ndani ni kwanini watu wanatabia ya kujiita vitu wasivyo??? Yaani opposite kabisa. Huyu ni doctor BRAINLESS.

Nani BRAINLESS, ni yule anayeijua Brain au ni yule ambaye haijui Brain? Nina wasi wasi kuwa wewe huijui hiyo brain.
Unajua caudate nucleus, claustrum, corpus callosum, putamen, globus pallidus na amygdala zinakaa wapi kwenye brain yako na kazi zake ni zipi? Unajua kuwa wengi wa wanasiasa wanaoshabikiwa sana wana kasoro kwenye basal ganglia kwenye brain zao? Kasoro hizi za ganglia zinaweza zikawa za kimaumbile (agenesis) au ziliathiriwa na ajali (post head injury) au maambukizi ya virus kama vya coxa viruses, retroviruses including vile vya HIV etc etc.

Kasoro hizi za basal ganglia husababisha clinical syndromes (magonjwa) mbali mbali kama: Parkinsonism (globus pallidus), Wilson's Disease (putamen), Huntingtone's chorea, Sydenham's chorea, Athetosis etc etc. Ndiyo maana tunasisitiza kuwa Katiba ya nchi iwatake wagombea wa nafasi nyeti kama ya Urais wakapimwe brains zao kwenye Neuro Centres za Kimataifa - ili kuepusha majanga ambayo taifa linaweza kuyapata kama waathirika hawa wakifanikiwa kuwa Marais!

Nadhani somo umelielewa na kuwa humu ndani (JF) kuna watu wa namna gani kama suala lako lilivyouliza.
 

Dr. Hukumuelewa Tundu Lissu,. Toa hiyo Dr. Unajidhalilisha
 
Kwani mkuu hujui hata chama chao ni cha kikabila ndio maana hawaoni hatari kuwagawa watu kwa misingi ya ukabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…